Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna aliyewahi kutokuwa-shortlisted na kuwasiliana na utumishi kwa changamoto yoyote ile kisha akawekwa kwenye majina ya nyongeza. Naomba msaada wakuu. Je alitumia means gani kuwasiliana nao na walitatuaje tatizo lake. Mwifwa na yeyote mwenye kujua.
 
Mwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa mana huko.
Usaili n trh 10 Novemba 😭

Utumishi kuitwa shazi ni kawaida, ww nenda hata mkiwa buku jitahid ufike mpka oral na oral jitahid uwe na confindence na ujibu vizuri alafu omba mungu mengine waachie wenyewe.
 
Kuna aliyewahi kutokuwa-shortlisted na kuwasiliana na utumishi kwa changamoto yoyote ile kisha akawekwa kwenye majina ya nyongeza. Naomba msaada wakuu. Je alitumia means gani kuwasiliana nao na walitatuaje tatizo lake. Mwifwa na yeyote mwenye kujua.

Kama changamoto gan?
 
Je ni tatizo la wengi. Au ni kada yangu ya Telecom tu?

Hapana mchujo ukiwa mkali mpka passport size ya profile yako wanakagua kama ni passport size au umejipiga self.
Huu mchujo ulikua mkali ndo maana walikua wanaangalia vitu vingi vingi.

Mimi kuna janaa hapa wamemwandikia not shortlisted kwa sababu passport size aliyoiweka sio inayoitajika
 
Nilikua private kuanzia namaliza chuo. Lakini changamoto ni kwamba kwa kampuni na post niliyoishika ilikua nategemea mshahara kwa 100%.

Watoto, mke, wazazi na mimi mwenyewe ule mshahara ulikua hautoshi. Nipo kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka miwili nikaamua nikasome ili sasa ama mshahara upande au niweze omba post zitakazoanza kulipa 2M kama takehome.

Nikajibiwa sisi tunajua tumemuajiri mtu aliyemaliza masomo hayo ya kutaka kwenda kusoma kampuni haisapoti. Mwaka Jana nilitaka kukopa 2M kwenye taasisi za fedha, siyo pesa nyingi kiasi hicho ule mlolongo niliokumbana nao wa ama gari au hati na pamoja na yote inabidi HR atie neno.

Nikafikiria nikaona nipambane na utumishi. Mungu mkubwa nikatoboa, washkaji zangu wakanicheka kwakua we all know nakuja kupokea peanuts huku lakini naamini in a long run kuna kitu nitafanya.
 
Kwaio serikalini utawala
 
Na yule member wa taesa kipindi anatufanyia training, kuna kitu alisisitiza kwetu kuhusu mshahara maana alitwambia kwamba mshahara wa serikalini ni mdogo lakini tusiwazie udogo wa mshahara ila utamu wake tutaujua tukiingia tu ndani, Kwahiyo usiache kuomba kazi kisha mshahara, we omba uingie kwenye system tu mambo mengine utayajua humo humo
 
Mwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa.
Usaili n trh 10 Novemba 😭
Kuna hii hali ukiwa unasubiri kuitwa interview unakua na ujasiri kinoma kiasi kwamba hadi unawamind PSRS kwanini wanachelewesha, na hii inatokana na situation ngumu ya kitaa anayokua nayo jobless ya kutafuta wa kumwangushia lawama😂😂. Ikitokea mtu umeitwa confidence yote inapotea kabisa unaanza kuwaza jinsi utakavyo kandwa.
 
Mwezi wa tano hv, TBC walitangaza nafasi 1 ya assistant producer na leo naona tumeitwa interview, ila majina ya kwenye pdf bado hayajatoka, nawaza sana kama tumeitwa wengi itakuwaje halafu nafasi n moja tuu 😭 yn mpaka nahisi kukata tamaa.
Usaili n trh 10 Novemba 😭
Mara gafla database inatoka ya TBC kwenye mkeka
 
Back
Top Bottom