Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yeah kama hivyo kulala lazima. Lodge ni 15K ila kaka kama katika cycle yako hamna mtu wa kukuazima 15K hiyo cycle vunja.

Day ya kwanza fika alfajiri kisha siku ya pili ya practical lala lodge. Ishu ni nauli au lodge?
Ngoja nipambane kwanza, hapa naiona safari ya usiku afu nipitilize moja kwa moja kwenye usaili
 
Pole sana mkuu, mimi siwezi kufanya kazi Government. Kwa sababu mpaka sasa na experience ya 6 years. Then nitoke nilipo then labda niende let say Tanesco nianze na salary ya 1.8M huku waliomaliza 2021 wanachukua zaidi ya hio then mimi niwe chini yao. Siwezi kukubali hicho kitu. Maana ukiajiriwa Serikalini hata uwe na experience ya Miaka 10 ya private sector wao wanakuchukulia kama fresh hicho kitu siwez kukikubali maisha yangu yote.
 
Upo sahihi nimefika nimeanza nyuma mno. In term of finance nilijua tu nitakua hovyo mpaka nije kusettle itachukua muda.
 
Mshahara serikalini unaweza usiuuguse kabisa kwenye matumizi yako na harakati zako, kumbuka hilo pia😉
 
Upo sahihi nimefika nimeanza nyuma mno. In term of finance nilijua tu nitakua hovyo mpaka nije kusettle itachukua muda.
Pole sana mkuu, endelea kupambana. Unaweza tenga miaka Yako 10 ya kufanya kazi kisha baada ya hapo ustaafu. Miaka hio igawanye kwa miaka mitano mitano.

Miaka mitano ya kwanza iwe kumaliza matatizo madogo madogo na kutafuta sehem nzuri yakukaa. Miaka mingine miatano iwe ya uwekezaji hasa katika kujiajiri kisha ukimaliza miaka 10 ufanye analysis uone kama Kuna huja yakuendelea na ajira au ukafanye mambo yako.
 
Mshahara serikalini unaweza usiuuguse kabisa kwenye matumizi yako na harakati zako, kumbuka hilo pia😉
Sio kwa mtu ambae ni fresh au officer ambae ndio anaajiriwa, at least uwe na uzoefu wakuwajua watu kwanza, napia inategemea upo mahala gani na kitengo gani, na kwa sasa mifumo kidogo imebanwa sio kama 2019 kushuka huko chini.
 
Kwenye hii ishu ya kuhama private kwenda government kiukweli ujiandae kwa mshahara wa kawaida. Unless uende taasisi kidogo impact unaweza usiifeel.

But kuna private ziko well established hata ukiwazia long run inakuonyesha kwamba hapo kuharibu ni utendaji wako na siyo kampuni kuzingua.

So choose wisely
 
Peace bruv
 
Jibu linapaswa kuwa ni lile lile bila kujali ni private au serikalini. Iko hivi: Kila swali unaloulizwa kwenye usaili linalenga kupima vitu fulani. Usipojua swali uliloulizwa linapima nini ni lazima utaambulia patupu hata kama unadhani kuwa swali ni rahisi sana kama hili ulilotolea mfano (Tell us about yourself). Swali hili linalenga kupima namna ambavyo sifa zako na uzoefu wako unaenda sambamba na sifa na uzoefu unaohitajika kwenye kazi iliyotangazwa. (To what extent your qualifications and experience can be a perfect fit to requirements
 
Labda kama huna vigezo nikukumbushe tu...
1: Private unaweza kutimuliwa muda wowote boss akihis unahatarisha nafas yake
2: kupanda cheo na mshahara apo private ni mtihan sana
3: Majukum yako ya kazi hayaeleweki, kesho unaweza kuhamishiwa ata getini
Nimefanya kazi private nikafanikiwa kupata nyumba...lakin ukiwaza zaid unaona future hakuna
 
Nakupa mfano

Umesomea Mass Communication, post ni Afisa Habari wa Wizara. Experience uliyonayo ni kufanya kazi kama Branch Manager wa Finca.

So utataka kutailor hii experience iendane na u-Afisa Habari? Mimi maoni yangu ni hayo hayo, taja posts ulizowahi zifanyia kazi, taasisi na miaka.

Kwenda deep kuelezea jinsi uliexcel kwenye duties zako Finca ni kuwapotezea muda panelists. But if it worked for you then sina neno.
 
Kapambaneni kila la kheri kwa mliochaguliwa na posts zenu kazi iendelee....
 
1. Kwa nini uhatalishe nafasi ya boss wako?. Haliyakua boss wako anafanya kazi professional na wewe unafanya kazi professional?. Kama utataka kupeleka majungu juu Ili boss wako atimuliwe Ili uchukue nafasi wewe basi utatimuliwa haraka sana.

2. Kupanda cheo na mshahara inategemea na taasisi hili si private wala government, mfano Magufuli Tangu anaingia 2015 na mpaka anaondoka 2021 alipandisha mishahara kwa kiwango gani hapo Serikalini?. Mimi mahala nilipo na miaka 2 naenda mwaka 3. Lakini mwaka wa kwanza kwenda wa pili nilipandishiwa mshahara kwa 7% , mwaka unaofata mshahara wangu ulipanda kwa 33%. Sasa utasema kupanda mshahara kwangu nichangamoto?.

3. Ukiona majukumu yako ya kazi hayaeleweki basi hio sio kazi bali ni kibarua. Lakini pia kwenye kazi zakueleweka private sector huwa wanaomba mtu kua flexible, let's say mm nafanya kazi kama Electric eng, then kazini mtu wa Clearing kapata dharula inatakiwa nijifunze kazi za watu wengine Ili inapotokea dharula niweze ku cover. Getini wanaajiriwa kk security au G4S au kampuni yeyote ya ulinzi unaweza vipi hamishiwa kwenye kazi za ulinzi huku si muajiriwa wa kampuni hizo.

4. Ukiona kazi haina future kwako basi hio kazi si kwa ajili yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…