Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sawa piga kazi
 
Ishu ya kwanza kabisa ni je hiyo private entity ni well established?

Ni taasisi ambayo inahofia reputation yake na ishu kama hizo? Mfano unafanya kazi kama Regional Sales Manager wa CocaCola kwanza ya Mengi na mwingine Regional Sales Manager wa Coca ya yule jamaa wa Mwanza.

Hawa ni watu wawili tofauti. Kuna mmoja mambo matatu au yote katika scenario yako anaweza akakutana nayo.
 
Private yenye amani ni ile inayoongozwa na wazungu 😀
 
Private yenye amani ni ile inayoongozwa na wazungu 😀
Nafanya kazi kwenye DEPOT ya mafuta, sio wabongo, sio warabu, wala sio wahindi. Namshukuru Mungu hapa nilipo Ili nitoke labda nifukuzwe au unilipe mshahara mara 4 ya huu naopata lkn hata kama uki double/triple bado siwez kuondoka.
 
Mkuu Mungu akubariki sana tena sana.. yaani umepata job but Bado Wana hujatutupa unaendelea kutupa moyo. Ubarikiwe sana. Baki na moyo huwo huwo
Hahahaa, tuishi mkuu
 
Reactions: jb_
Niko Dar afu n safari ya kwenda Dodoma, sasa ht cjui naenda kulala wap, last time nilienda Kwa mshikaji wangu ambaye kwa sasa hayupo tena dom [emoji24]
Panda Shabiby ya saa 2 au 3 usiku, utafika Dom mida ya saa kumi alfajiri, then utajipumzisha kidogo hapo ofisi za Shabiby Dom(kuna sehemu ya abiria kupumzika/kulala) pakipambazuka unasepa zako kuelekea kwenye venue
 
Nafanya kazi kwenye DEPOT ya mafuta, sio wabongo, sio warabu, wala sio wahindi. Namshukuru Mungu hapa nilipo Ili nitoke labda nifukuzwe au unilipe mshahara mara 4 ya huu naopata lkn hata kama uki double/triple bado siwez kuondoka.
Waswiss sio
 
Wakuu vip? Sorry naulizia kama kuna mdau ashafanyaga au anajiandaa na Interview ya Customer service officer TAA.
 
Sasa ndugu yangu hii practical si litakua bomu hili,hata nikiwaza sijui ni practical ya aina gani asee
Jiandae na practical za Electrical machines kudadadeki ,madude ya blocked rotor - free rotor nk
Machine 1 and 2 na electronics modules na practicals zake
Halafu hayo mazaga yanasahaulika kishenzi ,mi Sikumbuki hata
Sasa na hiyo practical maanina , na zile practical za Electrical si za mchezo mchezo kuna watu watakula zero hapo.
Hizi kazi mimi sikuomba .
Umeitwa Temesa au TAA ?
Kila la heri
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa nimewaza hapo tumechanganyika na watu wa telecom,hyo interview naona itabase na telecom tu asee mambo mukidee,,Temesa na TAA bado hawajaitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…