Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

1. Kwa nini uhatalishe nafasi ya boss wako?. Haliyakua boss wako anafanya kazi professional na wewe unafanya kazi professional?. Kama utataka kupeleka majungu juu Ili boss wako atimuliwe Ili uchukue nafasi wewe basi utatimuliwa haraka sana.

2. Kupanda cheo na mshahara inategemea na taasisi hili si private wala government, mfano Magufuli Tangu anaingia 2015 na mpaka anaondoka 2021 alipandisha mishahara kwa kiwango gani hapo Serikalini?. Mimi mahala nilipo na miaka 2 naenda mwaka 3. Lakini mwaka wa kwanza kwenda wa pili nilipandishiwa mshahara kwa 7% , mwaka unaofata mshahara wangu ulipanda kwa 33%. Sasa utasema kupanda mshahara kwangu nichangamoto?.

3. Ukiona majukumu yako ya kazi hayaeleweki basi hio sio kazi bali ni kibarua. Lakini pia kwenye kazi zakueleweka private sector huwa wanaomba mtu kua flexible, let's say mm nafanya kazi kama Electric eng, then kazini mtu wa Clearing kapata dharula inatakiwa nijifunze kazi za watu wengine Ili inapotokea dharula niweze ku cover. Getini wanaajiriwa kk security au G4S au kampuni yeyote ya ulinzi unaweza vipi hamishiwa kwenye kazi za ulinzi huku si muajiriwa wa kampuni hizo.

4. Ukiona kazi haina future kwako basi hio kazi si kwa ajili yako mkuu.
Sawa piga kazi
 
Labda kama huna vigezo nikukumbushe tu...
1: Private unaweza kutimuliwa muda wowote boss akihis unahatarisha nafas yake
2: kupanda cheo na mshahara apo private ni mtihan sana
3: Majukum yako ya kazi hayaeleweki, kesho unaweza kuhamishiwa ata getini
Nimefanya kazi private nikafanikiwa kupata nyumba...lakin ukiwaza zaid unaona future hakuna
Ishu ya kwanza kabisa ni je hiyo private entity ni well established?

Ni taasisi ambayo inahofia reputation yake na ishu kama hizo? Mfano unafanya kazi kama Regional Sales Manager wa CocaCola kwanza ya Mengi na mwingine Regional Sales Manager wa Coca ya yule jamaa wa Mwanza.

Hawa ni watu wawili tofauti. Kuna mmoja mambo matatu au yote katika scenario yako anaweza akakutana nayo.
 
Private yenye amani ni ile inayoongozwa na wazungu 😀
 
Private yenye amani ni ile inayoongozwa na wazungu 😀
Nafanya kazi kwenye DEPOT ya mafuta, sio wabongo, sio warabu, wala sio wahindi. Namshukuru Mungu hapa nilipo Ili nitoke labda nifukuzwe au unilipe mshahara mara 4 ya huu naopata lkn hata kama uki double/triple bado siwez kuondoka.
 
Mkuu Mungu akubariki sana tena sana.. yaani umepata job but Bado Wana hujatutupa unaendelea kutupa moyo. Ubarikiwe sana. Baki na moyo huwo huwo
Hahahaa, tuishi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Niko Dar afu n safari ya kwenda Dodoma, sasa ht cjui naenda kulala wap, last time nilienda Kwa mshikaji wangu ambaye kwa sasa hayupo tena dom [emoji24]
Panda Shabiby ya saa 2 au 3 usiku, utafika Dom mida ya saa kumi alfajiri, then utajipumzisha kidogo hapo ofisi za Shabiby Dom(kuna sehemu ya abiria kupumzika/kulala) pakipambazuka unasepa zako kuelekea kwenye venue
 
Nafanya kazi kwenye DEPOT ya mafuta, sio wabongo, sio warabu, wala sio wahindi. Namshukuru Mungu hapa nilipo Ili nitoke labda nifukuzwe au unilipe mshahara mara 4 ya huu naopata lkn hata kama uki double/triple bado siwez kuondoka.
Waswiss sio
 
Wakuu vip? Sorry naulizia kama kuna mdau ashafanyaga au anajiandaa na Interview ya Customer service officer TAA.
 
Sasa ndugu yangu hii practical si litakua bomu hili,hata nikiwaza sijui ni practical ya aina gani asee
Jiandae na practical za Electrical machines kudadadeki ,madude ya blocked rotor - free rotor nk
Machine 1 and 2 na electronics modules na practicals zake
Halafu hayo mazaga yanasahaulika kishenzi ,mi Sikumbuki hata
Sasa na hiyo practical maanina , na zile practical za Electrical si za mchezo mchezo kuna watu watakula zero hapo.
Hizi kazi mimi sikuomba .
Umeitwa Temesa au TAA ?
Kila la heri
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa nimewaza hapo tumechanganyika na watu wa telecom,hyo interview naona itabase na telecom tu asee mambo mukidee,,Temesa na TAA bado hawajaitaa
 
Back
Top Bottom