El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kacertify cheti alafu delete icho zamani uweke icho utakachocertify.ufanye fasta sasaHabari za asubuhi wataalamu,
Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au magistrate.
Je , nifanye nini ili niweze kuwa shortlisted kwa post zilizobaki ikiwa nilishawahi kuomba nafasi tano tofauti hapo nyuma (2022-2023) na zote nilikuwa shortlisted na kufanya interview.
Natanguliza shukurani ndugu zangu.
Shukurani sana kiongozi kwa ushauri ngoja nifanye fasta kwa kwelikacertify cheti alafu delete icho zamani uweke icho utakachocertify.ufanye fasta sasa
poapoaShukurani sana kiongozi kwa ushauri ngoja nifanye fasta kwa kweli
Hi ni ngumu,sababu taarifa watakazo tumia ni zile zilizokuwa kwenye mfumo mpaka mwisho wa deadlineHabari za asubuhi wataalamu,
Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au magistrate.
Je , nifanye nini ili niweze kuwa shortlisted kwa post zilizobaki ikiwa nilishawahi kuomba nafasi tano tofauti hapo nyuma (2022-2023) na zote nilikuwa shortlisted na kufanya interview.
Natanguliza shukurani ndugu zangu.
Okay sawa kiongozi lakini ninachojiuliza ni kuwa nilikuwa shortlisted kwa post tano nyuma kabla ya hizi za August mwaka huu.Hi ni ngumu,sababu taarifa watakazo tumia ni zile zilizokuwa kwenye mfumo mpaka mwisho wa deadline
Okay sawa kiongozi lakini ninachojiuliza ni kuwa nilikuwa shortlisted kwa post tano nyuma kabla ya hizi za August mwaka huu.
Cheti cha kuzaliwa kilikuwa certified chini ya district registrar .
Yeye aka jaribu ku certifyHi ni ngumu,sababu taarifa watakazo tumia ni zile zilizokuwa kwenye mfumo mpaka mwisho wa deadline
Hapo Certify cheti hicho kwa ajili ya kuombea nafasi zingine zijazo.Habari za asubuhi wataalamu,
Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au magistrate.
Je , nifanye nini ili niweze kuwa shortlisted kwa post zilizobaki ikiwa nilishawahi kuomba nafasi tano tofauti hapo nyuma (2022-2023) na zote nilikuwa shortlisted na kufanya interview.
Natanguliza shukurani ndugu zangu.
Kama kipo certified check baoOkay sawa kiongozi lakini ninachojiuliza ni kuwa nilikuwa shortlisted kwa post tano nyuma kabla ya hizi za August mwaka huu.
Cheti cha kuzaliwa kilikuwa certified chini ya district registrar .
Hamna ukweli juu ya hili mkuu kikubwa a certify sasa otherwise shortlist ilifanyika siku ile ile alipo omba kazi kabla hata deadline.Hi ni ngumu,sababu taarifa watakazo tumia ni zile zilizokuwa kwenye mfumo mpaka mwisho wa deadline
Me naongea kulingana na kitu kilichonitokea, pia sijakataa hasiweke kilichokuwa certifiedHamna ukweli juu ya hili mkuu kikubwa a certify sasa otherwise shortlist ilifanyika siku ile ile alipo omba kazi kabla hata deadline.
Lkn aki certify sasa anakuwa shortlisted.
Mkuu bas hata mimi itanikuta hii maana vyeti vyote nili certfy baada ya deadline mkuu ila maombi nilituma ndani ya siku husikaMe naongea kulingana na kitu kilichonitokea, pia sijakataa hasiweke kilichokuwa certified
Me naongea kulingana na kitu kilichonitokea, pia sijakataa hasiweke kilichokuwa certified
Me naongea kulingana na kitu kilichonitokea, pia sijakataa hasiweke kilichokuwa certified
Duu haiwezi kufanya kazi kumbe nilikua sijui asalalee mwee apa niombe muujiza tuMe naongea kulingana na kitu kilichonitokea, pia sijakataa hasiweke kilichokuwa certified
Tuliza wenge malafyale certify icho cheti cha computer na utaitwa nina hakika na hiliHaiwez
Duu haiwezi kufanya kazi kumbe nilikua sijui asalalee mwee apa niombe muujiza tu
Tuliza wenge malafyale certify icho cheti cha computer na utaitwa nina hakika na hili
Wanavyo select majina ndio wanaangalia vyeti sio nyuma wakati unafanya application
Good luck champion
Tuliza wenge malafyale certify icho cheti cha computer na utaitwa nina hakika na hili
Wanavyo select majina ndio wanaangalia vyeti sio nyuma wakati unafanya application
Good luck champion
Relax mkuu hamna ilo jamboAisee huyo jamaa kanitisha sana mkuu kasema ana experience mean ishawai mtokea
Mkuu hii niliomba ndio ninaitegemea na nimejipanga sana nisipokuwa shortlisted italeta tamaa sanaRelax mkuu hamna ilo jambo
Mungu akusaidie usiache kwenda kwenye usaili ata siku moja
Sio kweli data wanazotumia ku shortlist ni zile ulizoombea kama deadline ilishapita hapo ni kuCertify asubiri saili zijazo.Hamna ukweli juu ya hili mkuu kikubwa a certify sasa otherwise shortlist ilifanyika siku ile ile alipo omba kazi kabla hata deadline.
Lkn aki certify sasa anakuwa shortlisted.