Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yeah kama hivyo kulala lazima. Lodge ni 15K ila kaka kama katika cycle yako hamna mtu wa kukuazima 15K hiyo cycle vunja.

Day ya kwanza fika alfajiri kisha siku ya pili ya practical lala lodge. Ishu ni nauli au lodge?

Abebe na maji ya kunywa kwenye kidumu 😂😂😂😂
 
Anyway, mimi nilifanya hivi.

Nilitoka Dar saa tano na Shabiby nikafika saa 12 alfajiri nikaunganisha hadi ukumbi wa Asha Rose.

Nikamaliza saa tano asubuhi nikarudi kupanda gari la Dar.
Hivi siku hizi gari za dodoma kama shabiby huwa zinasafiri usiku kumbe mkuu..!?
 
Jiandae na practical za Electrical machines kudadadeki ,madude ya blocked rotor - free rotor nk
Machine 1 and 2 na electronics modules na practicals zake
Halafu hayo mazaga yanasahaulika kishenzi ,mi Sikumbuki hata
Sasa na hiyo practical maanina , na zile practical za Electrical si za mchezo mchezo kuna watu watakula zero hapo.
Hizi kazi mimi sikuomba .
Umeitwa Temesa au TAA ?
Kila la heri
Mbona mkeka wa TAA na Temesa bado hauja toka mkuu ..!?
 
Hivi siku hizi gari za dodoma kama shabiby huwa zinasafiri usiku kumbe mkuu..!?
Screenshot_2024-10-29-10-52-28-794_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2024-10-29-10-52-38-670_com.android.chrome.jpg
 
Mimi kuna kitu kimenitatiza kidogo. Jana nimeona pdf ya CO kwa Dar es Salaam, nikirejea tangazo lao la July ni kuwa walikuwa wanatakiwa 42 kwa mkoa wa Dar es Salaam, unfortunately pdf imetoka na majina 62 na baada ya kuyapitia nimegundua kwa waliofanya Oral 13/09 only 14 ndio wameitwa. Maanake ni kuwa 48 wamewatoa kwenye database? So, hao wengine waendelee kusubiria au ndio ishatoka hivyo.
 
Kuna nurses diploma mwingine ulitoka jana juzi nadhani wa 34 hivi wapo pale
Hongera.
Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo.
 
Mimi kuna kitu kimenitatiza kidogo. Jana nimeona pdf ya CO kwa Dar es Salaam, nikirejea tangazo lao la July ni kuwa walikuwa wanatakiwa 42 kwa mkoa wa Dar es Salaam, unfortunately pdf imetoka na majina 62 na baada ya kuyapitia nimegundua kwa waliofanya Oral 13/09 only 14 ndio wameitwa. Maanake ni kuwa 48 wamewatoa kwenye database? So, hao wengine waendelee kusubiria au ndio ishatoka hivyo.
Subiri ila ukiwa unaendelea na mishe zingine, akili ya kuitwa kazini iweke pembeni kwanza.

Utashangaa baadae unaitwa MNH au kwingineko huko then itakuwa shangwe na vigelegele
 
Back
Top Bottom