Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwalimu inategemea ulisomea nini, mfano kuna wale walimu waliosomea special needs wanakuaga na chances nyingi nyingi kidogo.
Kuna mmoja namjua anafanya kazi muimbili ila proffesion yake ni mwalimu wa special need.
Hapo nahisi mpaka aombe kwenye hiyo taasisi na asailiwe sio kupelekwa direct kutoka kwenye database la LGAs
 
Kimbukiko mara ya mwisho kuona pdf lenye kada yetu ilikua mwezi wa ngapi

Kimbukiko mara ya mwisho kuona pdf lenye kada yetu ilikua mwezi wa ngap
Kuna kozi zetu huu mwaka unaisha sijawahi ona Tangazo la kazi walitangaza mwaka Jana nafasi yenyewe moja kama hizi kozi hazitambuliki utumishi ni kheri kuzifuta tu ni Bora mtu ukose kazi ukiwa unaona zinatangazwa kuliko huoni ata dalili nilisoma hii kozi nilijua unique tangu nihitimu miaka miwili sasa nafasi ata 2 tu sijawahi ziona utumishi ngoja tupambanie tu upande wa pili
 
shida sana aisee
 
Tukumbushane kidogo: wale ambao tunatarajia kuingia kwenye written interview jitahid ukumbuke username yako na password unayotumia kuingilia ajira portal maana izo ndo zitatumika kuingilia katika account yako ya kufanya mtihani.
Na tujitahid tukifika mazingira ya mtihani tuzime simu zetu na.kuziweka kwenye mabegi hata kabla aujaambiwa zima simu pia jitahid uwahi mapema ikiwezekana dk 40 kabla ya mda ulioandikwa.
Khasnteni kila la kheli na mungu atusaidie ili woote wa humu tuweze pata nafasi tulizoomba.
 
Kuna kozi zetu huu mwaka unaisha sijawahi ona Tangazo la kazi walitangaza mwaka Jana nafasi yenyewe moja kama hizi kozi hazitambuliki utumishi ni kheri kuzifuta tu ni Bora mtu ukose kazi ukiwa unaona zinatangazwa kuliko huoni ata dalili nilisoma hii kozi nilijua unique tangu nihitimu miaka miwili sasa nafasi ata 2 tu sijawahi ziona utumishi ngoja tupambanie tu upande wa pili
Ni kozi gani chief
 
Haya maombi nahisi yamekataliwa ila wamenichinja juu kwa juu naona status haibadiliki toka mwezi wa 7
 
Attachments

  • Screenshot_20241029-195721_1.jpg
    Screenshot_20241029-195721_1.jpg
    54.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom