Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?


Kupanga ni kuchagua.Ila usijifunge sana just lower your pride ili usonge mbele Vema kujiuliza huo mgomo ulio nao una faida gani? Focus kwenye malengo yako usijilinganishe na watu wengine.

Hiyo sio pride. Hiyo inaitwa confidence. Mtu anajiamini na uwezo wake na kitu anacholeta mezani. Unfortunately watu wa hivi tunawaonaga wanaringa lakini kuna watu wana potential ya zaidi ya serikali inachooffer. Wote tunajua serikali haina strategy nzuri ya kuvuna talents na workforce.​
 
Pia usifanye kitu cha tofauti mbali na maelekezo uliyo pewa kama vile kufungua dashboard mpya au kuminimize dashboard maana utakuwa umetoka njee ya utaratibu ivyo inaweza pelekea kushindwa kumaliza maswali Yako maana mtiani utakuwa umejikusanya automatic
Hivi hizo written za kufanyia online wanaweka na maswali ya kujieleza au ni multiple choice peke yake? Na je ni taasisi zote zinatumia huo mfumo wa kufanya interview kidigitali?
 
Hivi hizo written za kufanyia online wanaweka na maswali ya kujieleza au ni multiple choice peke yake? Na je ni taasisi zote zinatumia huo mfumo wa kufanya interview kidigitali?
Ndio maswali yanakuwa multiple choice, sio kila taasisi wanatumia huu mfumo inategemeana kwa mfano kwa upande wa saili za malecture huu mfumo autumiki
 
Sasa kwa mawazo yako unahisi mtumishi wa kawaida anaweza kukupa ajira?

Usiwe desperate kiasi cha kuuzima ubongo wako,wapo watu wanafarijika kwa kupewa moyo wa kuendelea kupambania kombe.
Naomba tafsiri ya mtu anayeitwa mtumishi wa kawaida.
 
Wewe ni wa kukupuuza nitakupa airtime ya bure.

Kwahiyo hujui levels za servants kuwa kuna Juniors,Seniors and Executive.

Kwa akili yako unaweza kwenda kumuomba Junior akupe ajira? Grow up.
Una namba yangu mzee? Naona unataka kunizawadia airtime. Ila sina uhakika kama unauwezo wa ku afford.
 
Back
Top Bottom