Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tukumbushane kidogo: wale ambao tunatarajia kuingia kwenye written interview jitahid ukumbuke username yako na password unayotumia kuingilia ajira portal maana izo ndo zitatumika kuingilia katika account yako ya kufanya mtihani.
Na tujitahid tukifika mazingira ya mtihani tuzime simu zetu na.kuziweka kwenye mabegi hata kabla aujaambiwa zima simu pia jitahid uwahi mapema ikiwezekana dk 40 kabla ya mda ulioandikwa.
Khasnteni kila la kheli na mungu atusaidie ili woote wa humu tuweze pata nafasi tulizoomba.
Pia usifanye kitu cha tofauti mbali na maelekezo uliyo pewa kama vile kufungua dashboard mpya au kuminimize dashboard maana utakuwa umetoka njee ya utaratibu ivyo inaweza pelekea kushindwa kumaliza maswali Yako maana mtiani utakuwa umejikusanya automatic
 
Pole sana mkuu, mimi siwezi kufanya kazi Government. Kwa sababu mpaka sasa na experience ya 6 years. Then nitoke nilipo then labda niende let say Tanesco nianze na salary ya 1.8M huku waliomaliza 2021 wanachukua zaidi ya hio then mimi niwe chini yao. Siwezi kukubali hicho kitu. Maana ukiajiriwa Serikalini hata uwe na experience ya Miaka 10 ya private sector wao wanakuchukulia kama fresh hicho kitu siwez kukikubali maisha yangu yote.
Kupanga ni kuchagua.Ila usijifunge sana just lower your pride ili usonge mbele Vema kujiuliza huo mgomo ulio nao una faida gani? Focus kwenye malengo yako usijilinganishe na watu wengine.
 
Kuna watu zari kama hili limewaangukia.

Ingawa sio approach nzuri sana na inawakosesha waajiri potential and competent employees.
Kwa vipi? Sifa za msingi za hiyo kazi kama anazo basi anafundishika na kazi ataiweza. Na ni mtanzania usisahau hilo nchi ni yetu sote anaweza kufanya popote hajaandikiwa kushika chaki tu
 
Back
Top Bottom