Habari za asubuhi wataalamu,
Ninaomba kuuliza swali , mnamo mwezi wa nane nilifanikiwa ku apply nafasi 4 kwa taasisi nne tofauti kwa kada yangu . Lakini post moja matokeo ya shortlist yametoka na sijafanikiwa kuwa shortlisted kwa sababu ya cheti cha kuzaliwa kutokuwa certified na advocate au magistrate.
Je , nifanye nini ili niweze kuwa shortlisted kwa post zilizobaki ikiwa nilishawahi kuomba nafasi tano tofauti hapo nyuma (2022-2023) na zote nilikuwa shortlisted na kufanya interview.
Natanguliza shukurani ndugu zangu.