Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ebu nipe uzoefu ww hili limekukuta lini?? Maana kuna post za apo nyuma mwezi wa 8 niliomba na chet cha kuzaliwa hakikuwa certfied na nilikua shortlisted
Kuna mdau alisema apo nyuma kwamba endapo ushindani ukiwa mkubwa yani watu ni wengi alafu nasafi ni chache ivyo utumishi wanazingatia kwanzia kwenye barua, passport hadi veti Sasa inawezekana kipindi icho ulivyo kuwa shortlist labda ushindani aukuwa mkubwa kama kipindi ambacho awajakuchagua kwa sababu ambazo mwanzo azikuzingatiwa
 
Hapana mkuu nafasi ilikua moja watu zaidi ya 600
 
Ni mwez wa 8 tu hapo
 
Duuuh apo kipengele Mkuu
Lakini ni vyema kufuata taratibu kama zilivyo wekwa ili kuepukana na changamoto kama izi
Mkuu ebu fanya kuappload cheti ambacho chenye muhuri wa mwanasheria Kisha uone itakuwaje kuliko kutokufanya ivyo
 
Nisha upload kitambo mkuu sema nangoja shortlist tu ila kama ipo hivyo nimeambulia patupu
 
Habar wadau,nina swali kidogo
Katika kupangiwa venue wanaconsider p.o.box yako ama current resident region na current district?? Mana tunalishana matango pori huku nje
 
Habar wadau,nina swali kidogo
Katika kupangiwa venue wanaconsider p.o.box yako ama current resident region na current district?? Mana tunalishana matango pori huku nje
Ni current resident Mkuu maana kwenye barua uwezi kubadirisha baada ya dead line kupita ivyo kwenye personal details apo ndipo tubadirisha kutoka na sehemu ulipo kwa Sasa
Baada ya kubadirisha usisahua kuseva Mkuu
 
Naona utumishi wanatoa majina ya afya ya halmashauri sasa. Ila kwa kuanza tu na mkoa wa Dar-es-salaam pekee siku ya leo, itachukua mwezi mzima kumaliza halmashauri za mikoa yote 26 ya bara.
 
Hongereni wote mnaoendelea kuingia kundini.

Kila la kheri mkawe watumishi wema
 
Basi wangeunganisha kwenye sehemu ya mwajiri kwa maneno ya muajiri wizara na tamisemi,pale wamemuandika wizara tu nadhani ni swala la muda kama alivyosema @ mwifa

Basi wangeunganisha kwenye sehemu ya mwajiri kwa maneno ya muajiri wizara na tamisemi,pale wamemuandika wizara tu nadhani ni swala la muda kama alivyosema @ mwifa
TAMISEMI kashaanza kunyakua wake tayari, mkiambiwa msijifiche kwenye kichaka cha kujifariji kwa kuukataa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…