Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kampeni zimeanza tuwe wapole.. hapo tukutane baada ya uchaguzi
 
Fika kituo chako cha kazi, wasome wafanyakazi wa hapo wapoje mtafute mmoja ambaye anaweza kukupa hints maisha ya hapo yanaenda vipi then , ujipange namna ya kuwasilisha hoja yako kwa wakuu wako. Hayo ni maswala binafsi na yanazungumzika.
Nashukuru sana kiongozi
 
Nina swali kwa upande wa ICT( system developer) je unaruhusiwa kutumia framework mfano Django katika practical?
 
Hiyo barua ya kumfukuza kazi bosi ndio inakuwaje.

Naomba sample.
 
Mm nawatakia kazi njema wote, imani yangu inaniambia wote humu tutaajiriwa kitakachotofautisha ni muda na vituo vya kazi. Lakini niwakumbushe wanaotarajia kuajiriwa hakikisha unajiandaa vizuri sanaa.
Nawatakia usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…