Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kampeni zimeanza tuwe wapole.. hapo tukutane baada ya uchaguzi
 
Fika kituo chako cha kazi, wasome wafanyakazi wa hapo wapoje mtafute mmoja ambaye anaweza kukupa hints maisha ya hapo yanaenda vipi then , ujipange namna ya kuwasilisha hoja yako kwa wakuu wako. Hayo ni maswala binafsi na yanazungumzika.
Nashukuru sana kiongozi
 
Nina swali kwa upande wa ICT( system developer) je unaruhusiwa kutumia framework mfano Django katika practical?
 
ukitaka ufukuzwe kazi ata bila kulipa hata mia we sain mkataba piga kaz hapo private kisha jina likitoka anza kuwa mtoro , au nenda kazin umelewa chakari, au nenda kazin na mpenz wako mfanye mapenz kazin mbele ya bosi, au ukishaona jina limetoka utumish mtongoze mke wa bosi live mbele yake......au ukiona jina lako limetoka kimya kimya mwandikie barua ya kumfukuza bosi kazi na wafanyakazi wengne wote gonga na muhuri feki na dai kujimilikisha kampuni..............au nenda kazini uchi..........watakufukuza mapema sanaa
Hiyo barua ya kumfukuza kazi bosi ndio inakuwaje.

Naomba sample.
 
Mm nawatakia kazi njema wote, imani yangu inaniambia wote humu tutaajiriwa kitakachotofautisha ni muda na vituo vya kazi. Lakini niwakumbushe wanaotarajia kuajiriwa hakikisha unajiandaa vizuri sanaa.
Nawatakia usiku mwema.
 
Back
Top Bottom