Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sawa,, lkn mtu anakuja kuitwa interview akiwa hadi kashasahau kuwa kuna kazi aliomba ,, bad enough interview inamtaka aende jufanya mtiani Dodoma
Kwa kweli hawa utumishi kuna kuna wakati unabaki unajiuliza maswali sasa kama hawaku tayari kwanini watio tangazo ?? Kweli unatoa tangazoo afu unakuja kumuita mtu kwaijili ya interview baada ya miezi 8 mbele ??
Kweli mkuu hili ni tatizo. Mimi nimesoma vya kutosha nasubiri call for interviw ndo nianze kusoma tena nisije nikawa chizi bure.
 
Wakuu najiandaa na interview hivi karibuni

Kwenye written (Kuna uwezekano wa kufanya kwenye karatasi/paper kwawazoefu naomba mnielekeze kuandika essay za psrs nmeota mfano hapo chini je uelezaji upi unakuwa sahihi

Why many small businesses fail in Tanzania

1. Lack of Access to Capital: Many small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania struggle to secure funding from financial institutions, which limits their ability to invest in growth, innovation, or overcoming operational challenges

AU

Lack of Access to Capital: Many entrepreneurs are unable to secure funding from traditional financial institutions such as banks due to various reasons, including high interest rates, stringent collateral requirements, and the lack of a solid credit history or financial track record. businesses also face challenges in managing day-to-day operations, which can ultimately lead to financial distress or failure. Furthermore, the inability to attract investment hinders the overall growth of the entrepreneurial ecosystem in Tanzania, as potential opportunities for new business ventures are stifled.

AU

Lack of access to Capital, This limited access to capital prevents businesses from expanding, innovating, or adapting to changing market conditions
 
Kulingana na ufinyu wa muda ya mwisho ndio poa
 
Unajiandaa na nafasi ipi mkuu??
 
Hakuna kitu kinachowekwa sawa kuna watu wameomba tangu mwezi wa 5 MDA & LGA huu mwezi wa 12 Hola hakuna PDF hio ya NIT ni ya juzi tu haizidi Mwezi wameitwa interview leo wamepiga written
Ukiona hivyo ukimya huo....
Wanakawaida wanatoa Database watu kuna mkeka unakuja...
Nakumbuka kuna mtu kwenye page yao ya Twitter aliuliza swali la uwazi katika database wakasema sio mda mrefu wataweka wazi ...Naona muelekeo wa safisha database unakuja!!!!
 
Hapo elezea vizuri Database ipi ya wale walioomba au ipi?
 
Wakuu najiandaa na interview hivi karibuni

Kwenye written (Kuna uwezekano wa kufanya kwenye karatasi/paper kwawazoefu naomba mnielekeze kuandika essay za psrs nmeota mfano hapo chini je uelezaji upi unakuwa sahihi

Why many small businesses fail in Tanzania

1. Lack of Access to Capital: Many small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania struggle to secure funding from financial institutions, which limits their ability to invest in growth, innovation, or overcoming operational challenges

AU

Lack of Access to Capital: Many entrepreneurs are unable to secure funding from traditional financial institutions such as banks due to various reasons, including high interest rates, stringent collateral requirements, and the lack of a solid credit history or financial track record. businesses also face challenges in managing day-to-day operations, which can ultimately lead to financial distress or failure. Furthermore, the inability to attract investment hinders the overall growth of the entrepreneurial ecosystem in Tanzania, as potential opportunities for new business ventures are stifled.

AU

Lack of access to Capital, This limited access to capital prevents businesses from expanding, innovating, or adapting to changing market conditions
briefy explain kama misstari mitatu na mfano then unaclick next button
 
Back
Top Bottom