Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao jamaa ni hatari kwa afya ya Ubongo unaweza ukasahau unakuja kushtuka kitu kinasoma shortlisted halafu muda ushapita na haukutokea kwenye interview km unabet vile
Kama waalimu ndio washateswa kisaikolojia mpaka sasa hawaelewi yan.
Kuna wakati mtu ukiziona received yan sijui unajikiaje tu.
 
Hili buyu la Asali BOT wapambanaji kazi kwenu.

Zingatia angalau Upper second class kwenye GPA
 
Wao ni time travelers hawako affected na muda. Na kweli wameshiba sio kwa kuridhika huko
Januari to December wanachojua ni kutoa nafasi tu kuita watu kwenye interview aahaha received zinabaki zinawang'ong'a
 
Back
Top Bottom