Msaka njia
Member
- Nov 27, 2024
- 21
- 38
Kweli mkuu hili ni tatizo. Mimi nimesoma vya kutosha nasubiri call for interviw ndo nianze kusoma tena nisije nikawa chizi bure.Sawa,, lkn mtu anakuja kuitwa interview akiwa hadi kashasahau kuwa kuna kazi aliomba ,, bad enough interview inamtaka aende jufanya mtiani Dodoma
Kwa kweli hawa utumishi kuna kuna wakati unabaki unajiuliza maswali sasa kama hawaku tayari kwanini watio tangazo ?? Kweli unatoa tangazoo afu unakuja kumuita mtu kwaijili ya interview baada ya miezi 8 mbele ??
Sorry Wanaweka vitu gani sawa mkuu??
Hakuna kitu kinachowekwa sawa kuna watu wameomba tangu mwezi wa 5 MDA & LGA huu mwezi wa 12 Hola hakuna PDF hio ya NIT ni ya juzi tu haizidi Mwezi wameitwa interview leo wamepiga written
Acha kabisa acha kabisa hao jamaa MDA & LGA ni kibokoHapo tatizo ni la mwajiri, hana huaraka na watu wake.. PSRS hawana shida hapo ndugu.
Duuh hataree hawana haraka aixee Mimi nili apply Mwezi wa 8 hiyo LGA&MDA. Kumbe mpo wa mwezi wa 5 bado.Hakuna kitu kinachowekwa sawa kuna watu wameomba tangu mwezi wa 5 MDA & LGA huu mwezi wa 12 Hola hakuna PDF hio ya NIT ni ya juzi tu haizidi Mwezi wameitwa interview leo wamepiga written
Mwezi wa 5 bado wewe wa Mwezi wa 8 utasugua lamiDuuh hataree hawana haraka aixee Mimi nili apply Mwezi wa 8 hiyo LGA&MDA. Kumbe mpo wa mwezi wa 5 bado.
Kulingana na ufinyu wa muda ya mwisho ndio poaWakuu najiandaa na interview hivi karibuni
Kwenye written (Kuna uwezekano wa kufanya kwenye karatasi/paper kwawazoefu naomba mnielekeze kuandika essay za psrs nmeota mfano hapo chini je uelezaji upi unakuwa sahihi
Why many small businesses fail in Tanzania
1. Lack of Access to Capital: Many small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania struggle to secure funding from financial institutions, which limits their ability to invest in growth, innovation, or overcoming operational challenges
AU
Lack of Access to Capital: Many entrepreneurs are unable to secure funding from traditional financial institutions such as banks due to various reasons, including high interest rates, stringent collateral requirements, and the lack of a solid credit history or financial track record. businesses also face challenges in managing day-to-day operations, which can ultimately lead to financial distress or failure. Furthermore, the inability to attract investment hinders the overall growth of the entrepreneurial ecosystem in Tanzania, as potential opportunities for new business ventures are stifled.
AU
Lack of access to Capital, This limited access to capital prevents businesses from expanding, innovating, or adapting to changing market conditions
Namshukuru sana mkuu....kwa ushauri wakoKulingana na ufinyu wa muda ya mwisho ndio poa
Noma sana hiiMwezi wa 5 bado wewe wa Mwezi wa 8 utasugua lami
Unajiandaa na nafasi ipi mkuu??Wakuu najiandaa na interview hivi karibuni
Kwenye written (Kuna uwezekano wa kufanya kwenye karatasi/paper kwawazoefu naomba mnielekeze kuandika essay za psrs nmeota mfano hapo chini je uelezaji upi unakuwa sahihi
Why many small businesses fail in Tanzania
1. Lack of Access to Capital: Many small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania struggle to secure funding from financial institutions, which limits their ability to invest in growth, innovation, or overcoming operational challenges
AU
Lack of Access to Capital: Many entrepreneurs are unable to secure funding from traditional financial institutions such as banks due to various reasons, including high interest rates, stringent collateral requirements, and the lack of a solid credit history or financial track record. businesses also face challenges in managing day-to-day operations, which can ultimately lead to financial distress or failure. Furthermore, the inability to attract investment hinders the overall growth of the entrepreneurial ecosystem in Tanzania, as potential opportunities for new business ventures are stifled.
AU
Lack of access to Capital, This limited access to capital prevents businesses from expanding, innovating, or adapting to changing market conditions
Duuh kama Kuna za mwezi wa tano basi apa tukutane April 2025Noma sana hii
Ukiona hivyo ukimya huo....Hakuna kitu kinachowekwa sawa kuna watu wameomba tangu mwezi wa 5 MDA & LGA huu mwezi wa 12 Hola hakuna PDF hio ya NIT ni ya juzi tu haizidi Mwezi wameitwa interview leo wamepiga written
Hapo elezea vizuri Database ipi ya wale walioomba au ipi?Ukiona hivyo ukimya huo....
Wanakawaida wanatoa Database watu kuna mkeka unakuja...
Nakumbuka kuna mtu kwenye page yao ya Twitter aliuliza swali la uwazi katika database wakasema sio mda mrefu wataweka wazi ...Naona muelekeo wa safisha database unakuja!!!!
briefy explain kama misstari mitatu na mfano then unaclick next buttonWakuu najiandaa na interview hivi karibuni
Kwenye written (Kuna uwezekano wa kufanya kwenye karatasi/paper kwawazoefu naomba mnielekeze kuandika essay za psrs nmeota mfano hapo chini je uelezaji upi unakuwa sahihi
Why many small businesses fail in Tanzania
1. Lack of Access to Capital: Many small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania struggle to secure funding from financial institutions, which limits their ability to invest in growth, innovation, or overcoming operational challenges
AU
Lack of Access to Capital: Many entrepreneurs are unable to secure funding from traditional financial institutions such as banks due to various reasons, including high interest rates, stringent collateral requirements, and the lack of a solid credit history or financial track record. businesses also face challenges in managing day-to-day operations, which can ultimately lead to financial distress or failure. Furthermore, the inability to attract investment hinders the overall growth of the entrepreneurial ecosystem in Tanzania, as potential opportunities for new business ventures are stifled.
AU
Lack of access to Capital, This limited access to capital prevents businesses from expanding, innovating, or adapting to changing market conditions
Kuna watu walikandwa mwaka jana wakafika oral......Hapo elezea vizuri Database ipi ya wale walioomba au ipi?
Bado haujaeleweka mkuu eleza vizuri, kwa hao wakafika oral wakapita au ilikuaje?Kuna watu walikandwa mwaka jana wakafika oral......
Asante sana mkuu....nimeibeba hiibriefy explain kama misstari mitatu na mfano then unaclick next button
Hizi ajira za mda&lga ukishaomba inabidi usahau kidogo kama uliomba.Hakuna kitu kinachowekwa sawa kuna watu wameomba tangu mwezi wa 5 MDA & LGA huu mwezi wa 12 Hola hakuna PDF hio ya NIT ni ya juzi tu haizidi Mwezi wameitwa interview leo wamepiga written
Hao jamaa ni hatari kwa afya ya Ubongo unaweza ukasahau unakuja kushtuka kitu kinasoma shortlisted halafu muda ushapita na haukutokea kwenye interview km unabet vileHizi ajira za mda&lga ukishaomba inabidi usahau kidogo kama uliomba.