Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.

Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.

Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
kwenye tar 23 lazima wawalipe kwaaajili ya xmass usikonde sasa hivi watakua wanaandaa checknumbers
 
Wakuu nimehama mkoa nataka kubadili taarifa za kwenye profile pale inagoma kipengele cha wilaya haitaki. Vipi uko kwenu mliohama kanda moja kwenda nyingine iwapo mkaitwa kwa interview??

Ikukute eneo husika
 
Mtu wa utumishi kama yupo kwenye hili jukwaa atoe Muongozo kwanini pdf zinatoka kidg kidg na haiwati watu kwenye sail toka mwez wa 8 mpaka sasa
 
Imagine mkuu mmekaa kwenye kikao mnampitisha mtu mmoja kesho watano baada ya siku 3 tena 8 bora watulie bora wakae ata siku 15 watoe pdf la kueleweka.

Any way wataalam wetu tusiwapangie mambo. Hii nchi ukiwa kiongozi una akili tu basi
hawa jamaa wamezidi dharau sana. ndio shida ya kumpa muafrika dhamana au cheo flani lazima akitumie kuwaumiza waafrika wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…