Hasa jeshi la polisi mkuu hawa jamaa kigezo kikubwa cha kuajiliwa na form four.naona huko wamejazana vilaza tu yaani hawapo organized hata chembe yaani kama taasisi la mataahira.utashangaa na kesho yanapost watu watano tena
Pdf zipo za Halmashauri tukitoa hamtaki kwenda huko mnachagua kazi vijana, mnataka nani aende Mpimbwe Dc?Mtu wa utumishi kama yupo kwenye hili jukwaa atoe Muongozo kwanini pdf zinatoka kidg kidg na haiwati watu kwenye sail toka mwez wa 8 mpaka sasa
Mkuu saiv hachagui mtu watoe tu ila wanipeleke mkoa wa arusha overPdf zipo za Halmashauri tukitoa hamtaki kwenda huko mnachagua kazi vijana, mnataka nani aende Mpimbwe Dc?
Kweli kila mtu na uhitaji wake aiseeMatangazo ya ajira changamoto embu tuone 2025 Labla kutakuwa na neema.
Umeona kaka wengine tunalia na pdf,wengine interview wengine advert . Maisha ndivyo yalivyoKweli kila mtu na uhitaji wake aisee
ni kweli ,Umeona kaka wengine tunalia na pdf,wengine interview wengine advert . Maisha ndivyo yalivyo
Wamefanyaje mkuunaona zamu ya walimu imefika
nimeona kumbe ni tangazo la ajira mikoaniWamefanyaje mkuu
rahsully umeadimika nikajua tayar🤣🤣Msituone wengine tupo kimya humu mkajua tuna viasali tunavilamba huku nje walaa ni vle hata nguvu za kutype naishiwa kabisa kila nikikodoa macho pdf za afya tu dah
Labda 2025 inshallah
Siyo mjuzi ila nilipitia same scenario.Wakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.
Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.
Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
Leo tar 13 hatujapata check number na tumekuwa na wasiwasi wa kuenda kukosa mshahara WA mwezi huu.Siyo mjuzi ila nilipitia same scenario.
Update ya taarifa za payroll nafikiri deadline ni 15th
So ukiajiriwa tarehe ambazo update ilishafanywa au inakaribia kufanywa unakua huwezi kupata mshahara. Badala yake andika madai ya mshahara.
Kama watu wa idara yako wapo active na wanawork kama timu itakua walishakwambia ila kama ni wana attitude za kujiona miungu watu hilo swala ndiyo nimekuambia hapa
Check number haitoki mpaka mshahara kaka.Leo tar 13 hatujapata check number na tumekuwa na wasiwasi wa kuenda kukosa mshahara WA mwezi huu.
Maana Hospitali X ya rufaa niliyokuwepo juzi watu sita Tu ndio waliopata check numbers Kati ya watu 100.
Hr leo tumemfuata Kwa hasira Sana amesema issue ya check numbers ni Makao makuu Dodoma na hazina yeye anatumia check numbers Tu.
So kasema tumrudie tar 18 anadai zinaweza kutoka japo Kwa upande wangu nimekuwa na wasiwasi juu ya hili suala.
Sasa Mbona kuna baadhi ya mikoa wamepata check numbers wamepewa na HRs wao.Check number haitoki mpaka mshahara kaka.
Mmeajiriwa muda sawa?Sasa Mbona kuna baadhi ya mikoa wamepata check numbers wamepewa na HRs wao.
Hata hata kwetu wameitwa watu wanne wakapewa check numbers wengine tulivyouliza tumeambiwa hazijatoka
Wapi babaaa😂😂ngachoka mimi acha turahsully umeadimika nikajua tayar🤣🤣
tutakoma 🤣 🤣Wapi babaaa😂😂ngachoka mimi acha tu
Aisee mambo ni mengi bwana. Lkn mtapata tu check no mkuu kikubwa barua mnazoSasa Mbona kuna baadhi ya mikoa wamepata check numbers wamepewa na HRs wao.
Hata hata kwetu wameitwa watu wanne wakapewa check numbers wengine tulivyouliza tumeambiwa hazijatoka