Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

naona huko wamejazana vilaza tu yaani hawapo organized hata chembe yaani kama taasisi la mataahira.utashangaa na kesho yanapost watu watano tena
Hasa jeshi la polisi mkuu hawa jamaa kigezo kikubwa cha kuajiliwa na form four.
 
hii radiology si watu wa afya walifanyia interview sasa kulikua na haja gani ya kutangaza si wangechukua tu mtu wa muweke na pdf la jana.istoshe si majuzi tu hapa watu wa afya waliitwa AICC
 
Wakuu wizara ya afya Hatujalipwa mshahara mwezi wa 10.

Hakuna dalili za mwezi huu maana mpaka leo hatujapata check numbers.

Wajuzi wa mambo huu imeekaaje
Siyo mjuzi ila nilipitia same scenario.

Update ya taarifa za payroll nafikiri deadline ni 15th

So ukiajiriwa tarehe ambazo update ilishafanywa au inakaribia kufanywa unakua huwezi kupata mshahara. Badala yake andika madai ya mshahara.

Kama watu wa idara yako wapo active na wanawork kama timu itakua walishakwambia ila kama ni wana attitude za kujiona miungu watu hilo swala ndiyo nimekuambia hapa
 
Leo tar 13 hatujapata check number na tumekuwa na wasiwasi wa kuenda kukosa mshahara WA mwezi huu.

Maana Hospitali X ya rufaa niliyokuwepo juzi watu sita Tu ndio waliopata check numbers Kati ya watu 100.

Hr leo tumemfuata Kwa hasira Sana amesema issue ya check numbers ni Makao makuu Dodoma na hazina yeye anatumia check numbers Tu.

So kasema tumrudie tar 18 anadai zinaweza kutoka japo Kwa upande wangu nimekuwa na wasiwasi juu ya hili suala.
 
Check number haitoki mpaka mshahara kaka.
 
Sasa Mbona kuna baadhi ya mikoa wamepata check numbers wamepewa na HRs wao.

Hata hata kwetu wameitwa watu wanne wakapewa check numbers wengine tulivyouliza tumeambiwa hazijatoka
Mmeajiriwa muda sawa?

Anyway, ninachokujibu ni ambacho nilikiexperience
 
Sasa Mbona kuna baadhi ya mikoa wamepata check numbers wamepewa na HRs wao.

Hata hata kwetu wameitwa watu wanne wakapewa check numbers wengine tulivyouliza tumeambiwa hazijatoka
Aisee mambo ni mengi bwana. Lkn mtapata tu check no mkuu kikubwa barua mnazo
 
Back
Top Bottom