Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ivi ajira portal ukiwa una omba .huwa mnaweka barua ya maombi tu. Au ina ambatana na vyeti
 
Ivi ajira portal ukiwa una omba .huwa mnaweka barua ya maombi tu. Au ina ambatana na vyeti
Inabidi ujisajiri kwanza kwenye ajira portal kwa kuweka taharifa zako za makazi, nakara ya vyeti vyako vyote vya taaluma na kuzaliwa ambavyo vimepigwa muhuri.ya vimethibitishwa na mwanasheria, kisha wasifu wako baada ya apo ndio utaandika barua ya maombi ya kazi unayo kidhi vigezo
 
Uko kote tayari swali lilikua ni pale kwenye ku apply pakuweka barua ya maombi ni unaweka barua peke yake au una attach na vyeti tena kwenye iyo barua
 
mbona maswali yako yanakinzana mkuu, unaniuliza ndio naamka maana yake ww ulifahamu hili kitambo

hapo hapo wataka nikwambie wapi unaweka kadi ya chama

wale wanao pangiwa vituo na hawajafanya usaili huwa wana andika wapi mitihani yao
Nilikua sijui mkuu kama kuna watu wanapangiwa kazi na hawajapita kwenye usaili??
 
tafuta nyuzi humu zinazo onesha kwa ushahidi haya nayo sema
Nitagi mkuu kwa hizo nyuzi mimi nilikua najua ni teuzi wa rais tu na baadhi ya watoto wa vigogo mfano mtoto wa kabudi pamalagamba aliingia kwenye hall kufanya interview baba ake akiwa ni waziri wa katiba
 
Imagine mkuu mmekaa kwenye kikao mnampitisha mtu mmoja kesho watano baada ya siku 3 tena 8 bora watulie bora wakae ata siku 15 watoe pdf la kueleweka.

Any way wataalam wetu tusiwapangie mambo. Hii nchi ukiwa kiongozi una akili tu basi
Wanaweka hivyo ili wapate posho.
 
Utumishi wanaona jobless waomba ajira kama Matonya wale maombaomba wa barabarani na waokota makombo jalalani .
Fools kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…