Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi ujisajiri kwanza kwenye ajira portal kwa kuweka taharifa zako za makazi, nakara ya vyeti vyako vyote vya taaluma na kuzaliwa ambavyo vimepigwa muhuri.ya vimethibitishwa na mwanasheria, kisha wasifu wako baada ya apo ndio utaandika barua ya maombi ya kazi unayo kidhi vigezoIvi ajira portal ukiwa una omba .huwa mnaweka barua ya maombi tu. Au ina ambatana na vyeti
Uko kote tayari swali lilikua ni pale kwenye ku apply pakuweka barua ya maombi ni unaweka barua peke yake au una attach na vyeti tena kwenye iyo baruaInabidi ujisajiri kwanza kwenye ajira portal kwa kuweka taharifa zako za makazi, nakara ya vyeti vyako vyote vya taaluma na kuzaliwa ambavyo vimepigwa muhuri.ya vimethibitishwa na mwanasheria, kisha wasifu wako baada ya apo ndio utaandika barua ya maombi ya kazi unayo kidhi vigezo
Barua tuu MkuuUko kote tayari swali lilikua ni pale kwenye ku apply pakuweka barua ya maombi ni unaweka barua peke yake au una attach na vyeti tena kwenye iyo barua
watu wameanza kuona miyeyushoTunaambiwa Leo huko Arusha Kuna kada waliitwa 650 wameenda 90 tu, jobless wameisha au wamechoka?
Mkuuu gharama sana maswala ya usail na nafasi ni moja mtu anajua hamna jamboTunaambiwa Leo huko Arusha Kuna kada waliitwa 650 wameenda 90 tu, jobless wameisha au wamechoka?
Duu wewe ndio unaamka mkuuukweli utumishi kuna siasa nyingi, hakuna cha kanzi data wala nini utumishi na ccm damudamu kwa wale msio na connection fanyeni kujiunga na ccm hata kama hamkipendi tofauti na hapo mtasubiri sana
Ebu tupashe unaweka wap kadi ya chamaukweli utumishi kuna siasa nyingi, hakuna cha kanzi data wala nini utumishi na ccm damudamu kwa wale msio na connection fanyeni kujiunga na ccm hata kama hamkipendi tofauti na hapo mtasubiri sana
mbona maswali yako yanakinzana mkuu, unaniuliza ndio naamka maana yake ww ulifahamu hili kitamboEbu tupashe unaweka wap kadi ya chama
Nilikua sijui mkuu kama kuna watu wanapangiwa kazi na hawajapita kwenye usaili??mbona maswali yako yanakinzana mkuu, unaniuliza ndio naamka maana yake ww ulifahamu hili kitambo
hapo hapo wataka nikwambie wapi unaweka kadi ya chama
wale wanao pangiwa vituo na hawajafanya usaili huwa wana andika wapi mitihani yao
tafuta nyuzi humu zinazo onesha kwa ushahidi haya nayo semaNilikua sijui mkuu kama kuna watu wanapangiwa kazi na hawajapita kwenye usaili??
Nitagi mkuu kwa hizo nyuzi mimi nilikua najua ni teuzi wa rais tu na baadhi ya watoto wa vigogo mfano mtoto wa kabudi pamalagamba aliingia kwenye hall kufanya interview baba ake akiwa ni waziri wa katibatafuta nyuzi humu zinazo onesha kwa ushahidi haya nayo sema
Mbona kama umeandika kinyume mkuu?Check number haitoki mpaka mshahara kaka.
Wanaweka hivyo ili wapate posho.Imagine mkuu mmekaa kwenye kikao mnampitisha mtu mmoja kesho watano baada ya siku 3 tena 8 bora watulie bora wakae ata siku 15 watoe pdf la kueleweka.
Any way wataalam wetu tusiwapangie mambo. Hii nchi ukiwa kiongozi una akili tu basi
Nimeongelea experience yangu chief. Ni kama vile inakuepo on top ila hadi kituo chako waione inakuja na salaryMbona kama umeandika kinyume mkuu?