Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

N
Mbona mnatutisha sasa ambao tunapambania kuingia uko??😁😁
 
Tunaambiwa Leo huko Arusha Kuna kada waliitwa 650 wameenda 90 tu, jobless wameisha au wamechoka?
Mambo ni magumu ground+ drama anazofanya PSRS...unaishia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Alafu anatokea boss PSRS anasema Database mwaka mmoja hata aibu hawaoni drama wanazofanya mwisho wa siku jobless tunaona PSRS kama station ya vichekesho ndo hayo yanatokea ....
Inasikitisha sanaa mwenendo wao Utumishi..
 
Haya majina ya Mda/Lga ni ya wale walio apply mwezi wa nane mwaka huu? Mbona mm sijaliona jina langu na status bado imeandika Received
 
Sasa nani anataka kulipwa laki tatu mkuu maisha haya na bado upelekwe Mpimbwe ukaendeshwe na diwani wa la saba.. Rekebisheni scale za halmashauri uone watu wanavyojitupia
Subiri basi za taasisi upambane na watoto wa vigogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…