PageNoteFound
Senior Member
- Aug 18, 2024
- 153
- 399
NLeo tar 13 hatujapata check number na tumekuwa na wasiwasi wa kuenda kukosa mshahara WA mwezi huu.
Maana Hospitali X ya rufaa niliyokuwepo juzi watu sita Tu ndio waliopata check numbers Kati ya watu 100.
Hr leo tumemfuata Kwa hasira Sana amesema issue ya check numbers ni Makao makuu Dodoma na hazina yeye anatumia check numbers Tu.
So kasema tumrudie tar 18 anadai zinaweza kutoka japo Kwa upande wangu nimekuwa na wasiwasi juu ya hili suala.
Mbona mnatutisha sasa ambao tunapambania kuingia uko??😁😁