Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndio nimesema nichunguliie Mchana huu naona giza.. ili nijuuue hii nauli niliyo iandaa kufatia barua niile au niendee utumishi
Hahaha jamani utumishi wawe wanatoa pdf mapema waru waimie na kufurahi mapemaaa hahahaha
 
Wataalam ajira za ualimu za kilimo kule ajira portal kwa mikoa kama sita hv kila mkoa post 2 au 1 je mtu anapaswa kuaply mikoa yote akiatach barua au unaaply mkoa mmoja unatulia?
 
Jana kuna watu wawili nimewauliza kuhusu check number wamenihakikishia kwamba check number hua inatengenezwa na kituo chako cha kazi kisha wao ndiyo wanaisubmit TAMISEMI.

By saying so ni kwamba experience yangu ilikua ya hovyo ikafanya niwape taarifa ya uongo.

Hawa jamaa wakaniambia Afisa Utumishi hua wanasingizia TAMISEMI ili mtu ukikosa mshahara wasionekane wao ndiyo tatizo.
Utawala2025 Mr.Junior
 
wazee wenu hao 🀣 🀣 🀣
 

Attachments

  • 470244410_582764777728460_6543351353342196699_n.jpg
    45.1 KB · Views: 5
Ndiyo maana kazi huko utumishii haziendi,,,, kweli wazee hawa watafanyaje kazi kwa speed inayotakiwa ???

Hawa wazee ilipaswa wawe nyumbani wanacgeza na wajukuu lakin kwasababu ya ubinafsi na roho mbaya ,, vizee bado vimeng'ang'ania ofisini..

We fikiri post ya admission officer toka itolewe mwezi wa 8 hadi leo mwezi wa 12 bado hawajaita watu kufanya interview
 
Mkuuu punguza makasiriko mkuu utaitwa na utakandwa
 
Wazee wa Automobile ndo mwaka umeisha na zaidi bila hata mmoja kuita uongozi wa juu utumishi wanahojiwa hawana cha kujitetea zugazuga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…