A.MTALE
Member
- Aug 15, 2012
- 43
- 18
Hahaha jamani utumishi wawe wanatoa pdf mapema waru waimie na kufurahi mapemaaa hahahahaNdio nimesema nichunguliie Mchana huu naona giza.. ili nijuuue hii nauli niliyo iandaa kufatia barua niile au niendee utumishi