Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kuna post walitoa toka mwez wa nane unakuta inahitaj mtu mmoja badala ya kuchukua tu mtu kutoka database walivyo wasenge wanasubilisha watu miezi 6.mwishowe kina pinacoladee watahamia kwenye nyumba zao.
Sema nimecheka sana.😀😂.
 
Wakuu
Kuna yeyt alie apply nafas zile za Mamlaka ya viwanja vya ndege , za December mwak Jana. Je kuna update yeyote mtu kapata ?
Mkuu hao ww unaulizia kazi za mwezi December wakati kuna mpaka za mwezi august kwa hao hao TAA na Taasisi nyingine nezo mpaka leo watu hawajaitwa usahili na wala hawajui hatima zao wataitwa lini 😀, kikubwa watu tuendelee tu kunywa mtori nyama tutakuja kuzikuta chini kwa mateso wanayo wapa jobless hawa jamaa..🤔 unaomba kazi mpaka unasahau kama ulisha omba kazi kwa muda utakao subiria usahili wao.
 
Kuna ajira za afya zimetoka Leo, sasa utashangaa wanaitwa interview kabla yetu sisi wa mwezi wa nane dah
 
Reactions: jb_
Kuna ajira za afya zimetoka Leo, sasa utashangaa wanaitwa interview kabla yetu sisi wa mwezi wa nane dah
Utumishi sasa hivi ni kikundi cha uchekeshaji Tz kilichojivika ngozi ya Taasisi.......
Hawa watu zaidi wanapeana zawadi kubadirishana Taasisi wafanyakazi Wanajua hakuna Kiongozi anaweza kuwafanya lolote ndo maana wanafanya wanavyotaka...
 
Wanafanya kufuru maana hakuna wa kuwa uliza chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…