Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema nimecheka sana.😀😂.kuna post walitoa toka mwez wa nane unakuta inahitaj mtu mmoja badala ya kuchukua tu mtu kutoka database walivyo wasenge wanasubilisha watu miezi 6.mwishowe kina pinacoladee watahamia kwenye nyumba zao.
Ndugu hujakata tamaa tu, me nmechoka kusubri😭watu wa afya wanaraha utumishi rusheni buyu na kwa wahandisi basi
kwakweli nishakata tamaa basi tuNdugu hujakata tamaa tu, me nmechoka kusubri😭
Mkuu hao ww unaulizia kazi za mwezi December wakati kuna mpaka za mwezi august kwa hao hao TAA na Taasisi nyingine nezo mpaka leo watu hawajaitwa usahili na wala hawajui hatima zao wataitwa lini 😀, kikubwa watu tuendelee tu kunywa mtori nyama tutakuja kuzikuta chini kwa mateso wanayo wapa jobless hawa jamaa..🤔 unaomba kazi mpaka unasahau kama ulisha omba kazi kwa muda utakao subiria usahili wao.Wakuu
Kuna yeyt alie apply nafas zile za Mamlaka ya viwanja vya ndege , za December mwak Jana. Je kuna update yeyote mtu kapata ?
Tufosi tu hamna namnanimetafuta jina langu kidogo niue keyboard yangu sijaona hata kada yangu.kifuatacho ni kwenda kuriport tanesco kilazima
machizi haoKuna ajira za afya zimetoka Leo, sasa utashangaa wanaitwa interview kabla yetu sisi wa mwezi wa nane dah
Utumishi sasa hivi ni kikundi cha uchekeshaji Tz kilichojivika ngozi ya Taasisi.......Kuna ajira za afya zimetoka Leo, sasa utashangaa wanaitwa interview kabla yetu sisi wa mwezi wa nane dah
Wanafanya kufuru maana hakuna wa kuwa uliza chochoteUtumishi sasa hivi ni kikundi cha uchekeshaji Tz kilichojivika ngozi ya Taasisi.......
Hawa watu zaidi wanapeana zawadi kubadirishana Taasisi wafanyakazi Wanajua hakuna Kiongozi anaweza kuwafanya lolote ndo maana wanafanya wanavyotaka...
Aaah ww jamaaa Ukija kupata kazi utahadithia aisee unaonekana upo frustrated sana Mungu atakuona utapata tu mkuukwenye ile picha ya kwanza pale web kuna mzee kavaa shati la blue ameshikilia kitambi utazani kinataka kuanguka 😆 😆
Bado hujasema ,mpaka useme 😂😂😂😂😂😂watu wa afya wanaraha utumishi rusheni buyu na kwa wahandisi basi
😆 😆 😆 naona unaugulia maumivu kimya kimyaBado hujasema ,mpaka useme 😂😂😂😂😂😂