Utumishi ishakuwa upuuzi ,ni bora tu Taasisi waanze kuajiri wenyewe moja kwa moja ijulikane moja ,nilikuwa nawatetea sana utumishi humu ,ila kwa huu ujinga hamna namna ,huu ni useng€Unajua ndomana Taasisi nyingine ziliamua kuajiri zenyewe kwa kuendesha sahili zao, uchele weshaji wa mchakato wa kupata watumishi wapya kama ilivyo sasa pale utumishi ilikuwa ni moja ya sababu zao kubwa pia ndio maana waliona mlolongo ni mrefu sana kupitia kwao na kuamua kujitegemea wenyewe.
Taasisi waajiri wenyewe atakayepata na apate atakaye kosa maisha yaendelee ,