Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na je ikitokea watu wa utumishi wakakupigia sim kujitambulisha na wakakuambia chet Chako Cha form four hakionekan vzur uscan then wanakupa email ukitume tena je na hao ni matapeli?
Utakuja kushangaa mtu anatumia cheti chako mahali.
 
Dah nimewamiss sana watu wa Mungu,hata sikumbuki nliishia page ipi nicatch up.
Yote kwa yote Halmashauri kiboko jamani😭😢🙌🏾.

Am grateful nina kazi but dah maisha ni magum jamani i wish nihame. Yani apart from mshahara hakuna nachopata najua mtu hawezi amini,yani no posho no nini😢 unajikuta huna hata akiba.

Those times what mattered ilikua “cha muhimu uingie kwenye system , upate cheque number” haya sasa hivi ni kustruggle kupata green pasture kama kwenye maatasisi huko.

Nikiwaza sisi ndo wale tusio na connection nachoka🙌🏾, yani hujui hata uanzie wapi dah

Anyways nimewamiss sana nyie watu, nipo hapa nilipo kwa sababu Mungu alinitambulisha kwenu, na mkanisaidia mm kufika hapa,mbarikiwe sana nawapenda mnooo

Been a year now, sina amani nilipo lakini at least am not jobless, kama ambavyo sikujua ningepataje huku na nikapata i believe pia nitatoka kwenda mahali pazuri zaidi.

Some of us we have not had it easy kwenye maisha yetu, hatuna mapesa hatuna connection so miujiza tu ya Mungu.

Ukichek wenzio daily wanahama tu kwenda kwenye maatasisi mara Mkurugenzi abanie barua drama za hapa na pale, unabaki unakodoa macho tu like God when na mimi😢

Mtu anaripot anakaa miez 6 shwaaaa hadi raha,halafu kuna akina sisi. Yani nipo mkoa mgumu sana i wish mtu aelewe mana nje mzunguko hakuna kufungua biashara kwa mtu kama mm ni kama tu unatupa hela🙌🏾

Yani ndani ntiti nje ntiti,kheri kazin kungekua mtiti sawa mtu unaweza jibana ukaanzisha kakitu kwa kuwa kuna population kitaprosper bt huku watu hakuna kilimo ndo usiguse yani kama cursed place🙌🏾

Tupeane mbinu jamani tunatokaje huku Halmashauri😢

I have so much to say kwa moyo wangu😢
 
Welcome 🤗 🤗 anza ufugaji wa kuku kisasa hauta jutia
 
Jibane tafuta eneo afu mawazo ya kuhama futa kama kuna watu wanaishi na ww unaweza kukaa

Good luck Jenga mji wako uko, invest invest uzee unagonga hodi kwa kasi.
😂alooo yani nlipo ni pagumu in a way waliofanya hayo unayosema ni wazawa tu wa huku, watu wanapakimbia balaa

Yani wazo la kuhama siwezi futa asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…