Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pole sana mkuu.. Halmashauri sio kabisa.,Ila Mungu atasaidia.

Keep on Faith.
 
njoo PM nikutumie mchanganuo wa biashara lakn faida yake sio kubwa sana. faida ni 5000 per day.
 
Hivi Maafisa Biashara nao ni njaa kumbe😎
Au inategemea sehemu na sehemu?
 
Nimerudia kusoma Tena!

I tried to read between the lines!

Ntakuuliza swali Moja, are you born again Christian? If Yes!

Then Kuna Jambo kubwa ambalo umebeba ndani yako! If no ... Sina Cha kusema!

Ila Kuna watu bhana ni heaven system's carrier ... Kusoma kwako kwa tabuu Sanaa! Kupata kazi kwao kwa tabuu sana!

Mahusiano au ndoaa! Kwa tabu Sanaa!

Wakipata kazi, kupata green pastures ni shida! Kupata kibali kwa ma boss ni shida!

Maana Wana kitu kikubwa sana ndani yao ili tu hicho kitu kisiweze ku manifest ni kuhakikisha huyo mtu aliyebeba Hilo kitu Hana utulivu wala amani! Yaani awe kwenye mahangaiko siku zote!

Loh! Nimesema mengi! Ingine

Kuna watu ni Mungu huwapeleka sehemu yenye Giza ili wakawe Nuru ya eneo!
Utashangaa wewe utatafuta uhamisho mpk ukome! Kumbe Mungu ndo amekupeleka hapo

Aiseee! Sijui hata ninachoongea!

Samaleko

Afisa Mtendaji wa Kata ya Jamii Forum.
 
Madam unanishauri nikaze sana nisiende halmashauri nikale green pasture GPSA NIMR TRA TCRA TIC BOT TSN WIZARAN NA LKN SIO HALMASHAURI NAPAJUA VZURI NILIKUA AFISA MTENDAJ KATA X MKOA X KWA MKATABA WALE JAMAA WANAJUA MAJUNGU NA UNAFKI TU
 
Madam unanishauri nikaze sana nisiende halmashauri nikale green pasture GPSA NIMR TRA TCRA TIC BOT TSN WIZARAN NA LKN SIO HALMASHAURI NAPAJUA VZURI NILIKUA AFISA MTENDAJ KATA X MKOA X KWA MKATABA WALE JAMAA WANAJUA MAJUNGU NA UNAFKI TU
Mimi ni Mtendaji wa Kata ya Jamii Forum

Sasa Mbona unatukatisha tamaa afisa maendeleo tunasubiria ajira 😂
 
Mimi ni Mtendaji wa Kata ya Jamii Forum

Sasa Mbona unatukatisha tamaa afisa maendeleo tunasubiria ajira 😂
Afisa maendeleo, afisa elimu, afisa kilimo police jamii, afisa mifugo, waalimu wote maafisa wauguzi wote mpo chini mm ndio mkurugenzi wenu mkiongozwa na diwani amabaye ni mwenyekiti wa kata huyu ndio hufukuza watumishi kwenda kupeleka umbeya kwa mkurugenzi
 
Nimekuelewa vizuri Mkuu
Hiyo ndio Halmashauri eeh?

Umenipa kitu Leo Mkuu!
 
Naombeni kujua, kwa mtu ambaye amesha wahi fanya oral interview ya utumishi. Kila mtu ana tumia dakika ngapi (Mda wanao kupa kwenye oral)
Mara nyingi mda ni dakika ngapi per person?
 
Uko idara gani hapo halmashauri yenye njaa kiasi hicho?
 
Madam unanishauri nikaze sana nisiende halmashauri nikale green pasture GPSA NIMR TRA TCRA TIC BOT TSN WIZARAN NA LKN SIO HALMASHAURI NAPAJUA VZURI NILIKUA AFISA MTENDAJ KATA X MKOA X KWA MKATABA WALE JAMAA WANAJUA MAJUNGU NA UNAFKI TU
Mkuu na NIMR wapo vizuri? Na ni kwa kada zote?
 
Degree ya ualimu itanitoa kwenda wapi mkuu, na nipo kwenye system sioni ninapoenda? Na senior waliopo hawana matumaini yoyote?
Yawezekana tatizo ni GPA mkuu ama hujataka kupambana sana.
Mwalimu kama unataka kusoma nenda kasome walau Postgraduate ya Technical Education utoke huko ndanindani upate placement kwenye shule zenu zilizo na mchepuo wa amali ama uhamie veta.

Tofauti na hapo inabidi uangalie kazi zinazotoka utumishi kama vile Warden, Quality assurance, proof reader(iwapo umesoma arts), Developers wa mitaala.
Kila mwaka hasa kuanzia mwezi wa 5 hadi 7 kuna nafasi za kuhamia taasisi zinatoka. Je, Unafanya nini kwa wakati huo?
Iwapo ulipita JKT kuna ajira za takukuru mwezi wa 2-3 na watumishi huwa wanaruhusiwa kuomba hata bila jkt.
Pambana utoke kwenye trenches.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…