Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana na karibu tena humu.

Pia Hongera kwa kutambua namna mazingira hayo yalivyo, hivyo ni hatua mojawapo ya kukusukuma kusonga mbele.

Ili utatue tatizo ni lazima ulibaini, wewe tayari umeshalibaini. Kilichobaki ni kuchora ramani ya kulitatua.
 
Hapo sasa ndio waseme wao walikotoa hao waalimu aisee waalimu wana kazi sana moto unawaka kama wapo tamisemi vile vile tu
Walimu mbona wamekuwa wakifanya interview utumishi na nafasi hutangazwa kwa baadhi ya kada hasa masomo ya sayansi mbona si mara moja? Hao walikuwa kwenye data base
 
Database ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
Wewe walimu kuna baadhi ya matangazo ya kazi zao yamekuwa yakitangazwa ajira portal kitambo! Hao walikuwa data base
 
Wewe walimu kuna baadhi ya matangazo ya kazi zao yamekuwa yakitangazwa ajira portal kitambo! Hao walikuwa data base
Asanteh mkuu nilikuwa sifahamu nikajua ni mara yao ya kwanza ajira zao kutangazwa Utumishi
 
Tuna elimishana humu Kiongozi....
Hizi hazipendezi kama unaona huna haja ya kujibu bora kukaa kimya mwingine atamjibu kuliko kuitana

Walimu mbona wamekuwa wakifanya interview utumishi na nafasi hutangazwa kwa baadhi ya kada hasa masomo ya sayansi mbona si mara moja? Hao walikuwa kwenye data base
Ole
Walimu mbona wamekuwa wakifanya interview utumishi na nafasi hutangazwa kwa baadhi ya kada hasa masomo ya sayansi mbona si mara moja? Hao walikuwa kwenye data base
Mkuu sikuwahi sikia maana nimeanza kuwa active mwaka jana mwez wa 6 kama sikosei na ajira za utumish
 
Qumaqumamamaeee walimu wametolewa database wakuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ni jambo jema sana kama wamechukuliwa, maana hao hao huenda wengi wao ndio waliomba hizi ambazo sahili zinaendelea
 
😄😄😄 sikucheki, kinachonichekesha nimewaza jinsi mahangaiko hayaishi kwa mwanadamu. Ukipata hiki kinakuja na changamoto zake, pambana usolve ilo lililoko mbele yako. Hapa duniani maisha ni kupambana hadi siku unaingia kaburini.
 
Mkuu fuatilia wale ni watoto wawakurugenz wakuu wa mikoa makamanda wa jeshi waanze kwanza. Jamaa mmoja kaomba kazi majina yamefuatana kwenye pdf watafanya usail mwez huu trh 22 ila jina lake tayari lishatoka kapata kazi
Maisha yapo.

Wengine wana wajomba, wengine tuna Mungu.
 
Mkuu sasa kazi zilitangaziwa wapi wakat mfum ulikua tamisemi??
Kila mwenye sifa aliyewahi kufanya usahili na akafaulu ana haki ya kupangiwa kituo cha kazi nafasi zikipatikana.

Hivyo basi hao waliowahi kufanya ndio wanabahatika kupangiwa kazi kwa sasa.

Pia, hawa walimu wanaoendelea kufanya sahili, wale wote watakaofika oral na kufaulu, kuna wapo watabaki database na watapangiwa nafasi baadae zilipatikana.

Mfano: Hawa wanaotolewa database huenda kunawapo walifanya sahili za nafasi ya kazi NECTA kama Examination Officer, Quality Control Officer, Quality Assurance Officer ila wakapangwa kufundisha.

Halafu hawa watakobaki database wanaweza kuja kupata nafasi baadae sehemu zingine palipo pazuri zaidi mfano huko NECTA na kwenye Vyuo vya kati.

Hivyo hapa ni ishu ya kucheza na bahati unaweza kuangukia popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…