Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Sawadeal na IAE hiyo muce imeishia oral ππ
Lindi sehemu gan hapo.Niko lindi
Lindi mjiniLindi sehemu gan hapo.
Pole na Hongera kwa kufika salama mkuuEwaaa,asante Mungu nimefika salama huku kwetu Namtumbo. Tuombeane uzima na mafanikio.
Pole na safari, hongera kwa kufika salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Nipo naelekea kwangu now
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23], bibi kizee mimiTufuatane
Ahsante sana kakaPole na safari, hongera kwa kufika salama
ππππAsa hyo kaka imetoka wapi tena ?au ndo kumkwepa joblessAhsante sana kaka
AmeenMUNGU ATASAIDIA WOTE TUTAINGIA SERIKALINI KUTUMIKIA NCHI YETU
Hahahaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asa hyo kaka imetoka wapi tena ?au ndo kumkwepa jobless
Wewe endelea kusubiri, mpaka mwakani kuanzia mwezi wa tatu, baada ya cag kukabidhi riport. πNaam ndio kushapambazuka, tuendelee kutega masikio tuone PSRS watatuletea agenda gani...
Kwakweli acha tuendelee kusubiriaNaam ndio kushapambazuka, tuendelee kutega masikio tuone PSRS watatuletea agenda gani...
Hahahaaa, kisaikolojia nishajiandaa kwa subira hadi mwakani.Wewe endelea kusubiri, mpaka mwakani kuanzia mwezi wa tatu, baada ya cag kukabidhi riport. [emoji23]
PSRS hawaeleweki wanaweza kutoa hata leoSitaki placement wiki hii tusubirie J4 ya next week.
Ni J4 to J4 kama ilivyopendekezwa
Wakaushe kwanza nilikua natamani sana watoe ile mwanzo mwezi sasa hivi wasubiri mwisho wa mwezi tuPSRS hawaeleweki wanaweza kutoa hata leo
Yamekuwa hivyo tenaπππππWakaushe kwanza nilikua natamani sana watoe ile mwanzo mwezi sasa hivi wasubiri mwisho wa mwezi tu