Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu, hivi kuna zile posts zilitangazwa last year nyingi tuu taasisi za LGAs na MDAs,nakumbuka ilikuwa mwezi wa nane, nini kilitokea? Naona hawajaita mpaka leo, au walizifuta??
Zipo pending tu received inasoma mpaka leo hakuna alieitwa interview wazee hawataki kustaafu na serikali haitaki kuwachomoa wazee kazini sababu hata wakirudi mtaani hawajui watafanya nini maana mtaani kugumu
 
Wale wa account, administration, taxation, procurement and civil engineering ni muda wenu wa kuongeza Received maana TRA wanahitaji watu 1630+ ivyo kila lakheri kwenu
PSRS wamelala hawajaweka hizo kule kunasoma 0 tu
chrome_screenshot_3 Feb 2025 02_28_22 GMT+03_00.png
 
Utumishi waachie database MDA tutoke mtaani..............Tuliofanya Taasisi tofauti ndo pona yetu na tumain letu lipo hapo
maana mambo yanaenda kombo kama Taasisi zinaajiri zenyewe
 
Kwa wale wanaoomba kazi za TRA, pitia uzi huu upate madini.

 
Back
Top Bottom