makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
I hope Kuna siku na sisi tutatoa ushuhuda wa kupata kazi.
Mtu mwingine akipata kazi na kutoa ushuhuda hapa iwe ni sehemu ya kutumia nguvu!
We shall over come! We shall over come!
Mimi najitolea kila ijumaa kufunga na kuomba kwa ajili yetu sote ambao Bado tunasubiria interview, kusubiria nafasi kutangazwa au kama unasubiria kuitwa kazini.
Kila ijumaa ntafunga na kuomba ... Maisha yana Siri kubwa huwezi kujua kesho nani anaweza kuwa msaada kwako!
Mungu si tu kama anasikia maombi Bali anajibu pia