Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari wakuu, hivi kuna zile posts zilitangazwa last year nyingi tuu taasisi za LGAs na MDAs,nakumbuka ilikuwa mwezi wa nane, nini kilitokea? Naona hawajaita mpaka leo, au walizifuta??
Zipo pending tu received inasoma mpaka leo hakuna alieitwa interview wazee hawataki kustaafu na serikali haitaki kuwachomoa wazee kazini sababu hata wakirudi mtaani hawajui watafanya nini maana mtaani kugumu
 
Wakuu ivi wanaoitwa maendeleo ya jamii ni wale wa degree kutoka database??
 
Utumishi waachie database MDA tutoke mtaani..............Tuliofanya Taasisi tofauti ndo pona yetu na tumain letu lipo hapo
maana mambo yanaenda kombo kama Taasisi zinaajiri zenyewe
 
Kwa wale wanaoomba kazi za TRA, pitia uzi huu upate madini.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…