kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
nilifanikiwa usiku mneneOvyo kabisa.
Namfanyia mtu application, hadi sasa sijafanikiwa ku upload document
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilifanikiwa usiku mneneOvyo kabisa.
Namfanyia mtu application, hadi sasa sijafanikiwa ku upload document
Hapo inabidi uende na masufuria yako kabisa na gunia la mkaaIv practicle za upishi uwa wnaapika kabisaa kabisaa na msahihisha uwa anaonja chakula ili kugawa marks???
ASP.net hio mtaelewa tunilifanikiwa usiku mnene
Wapi TRA?ndio nimeona nafas ya lab technician ii na lab officer
ndio mkuu nimeapply ikakubaliWapi TRA?
Miezi 8 sijui 10 mwaka mnasubiria interview wakati nafasi mnazosubiria watu wameshapewa kimchongo mtaitwa interview ushahidi tu ila kuitwa kazini sahauKka kyagata umu umetengeza heshima ako na huu uzi ndio mkafanya uende mpaka kufika hapa
Najua utakuwa umepata na umesahau machungu yote hivyo ukumbuki chochote
Lejea tittle ya huu uzi tumetoka uko saivi sio kusubili tena placements ni kusubili interview ambayo tunaenda miezi 8 mpaka 10 na mwaka unaweza kuisha kwa hali hii unawaza tu interview
Jamaa wajitafakari sana utendeji wao wa kazi
Imetick?ndio mkuu nimeapply ikakubali
ndio boss nimeomba position mbili zote zimekubaliImetick?
Safi tusubirie ushahidi wa kuitwa interview na kupotezeana muda na fedha ila nafasi tayari zina wenyewe Nchi imeshabadirika mfumondio boss nimeomba position mbili zote zimekubali
Daaah kumbe ngoja na mimi nitumendio nimeona nafas ya lab technician ii na lab officer
tuma tu mkuu bora kujaribu kuliko kutojaribu bossDaaah kumbe ngoja na mimi nitume
Sawatuma tu mkuu bora kujaribu kuliko kutojaribu boss
kuna kipengele cha kujaza TIN namba ulijaza.?ndio nimeona nafas ya lab technician ii na lab officer
Wanasema ukitumia level moja ya elimu sio shida.Kaka samahani kuna position mbili nimeomba mtu mmoja hapo nakuwa nimeharibu kazi au
Mkuu ningekushauri uombe moja tu. Siku hizi hawachek na kima interview zinafanyika siku moja na mda mmoja mimi kwenye io pdf naweza kuomba sehemu 3 lkn kilichotokea BOT kinaenda tokea TRAndio boss nimeomba position mbili zote zimekubali
aombe zote then ataamua yeye afanye ipiMkuu ningekushauri uombe moja tu. Siku hizi hawachek na kima interview zinafanyika siku moja na mda mmoja mimi kwenye io pdf naweza kuomba sehemu 3 lkn kilichotokea BOT kinaenda tokea TRA
Acha tu mkuu kweli yataka moyo TAA BOT na nyingine zilifata lkn MDAs na LGAs wapMiezi 8 sijui 10 mwaka mnasubiria interview wakati nafasi mnazosubiria watu wameshapewa kimchongo mtaitwa interview ushahidi tu ila kuitwa kazini sahau
Mkuu wanakata anaweza kosa zoteaombe zote then ataamua yeye afanye ipi
aombe zote then ataamua yeye afanye ipi