Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kka kyagata umu umetengeza heshima ako na huu uzi ndio mkafanya uende mpaka kufika hapa

Najua utakuwa umepata na umesahau machungu yote hivyo ukumbuki chochote

Lejea tittle ya huu uzi tumetoka uko saivi sio kusubili tena placements ni kusubili interview ambayo tunaenda miezi 8 mpaka 10 na mwaka unaweza kuisha kwa hali hii unawaza tu interview

Jamaa wajitafakari sana utendeji wao wa kazi
Miezi 8 sijui 10 mwaka mnasubiria interview wakati nafasi mnazosubiria watu wameshapewa kimchongo mtaitwa interview ushahidi tu ila kuitwa kazini sahau
 
Mkuu ningekushauri uombe moja tu. Siku hizi hawachek na kima interview zinafanyika siku moja na mda mmoja mimi kwenye io pdf naweza kuomba sehemu 3 lkn kilichotokea BOT kinaenda tokea TRA
aombe zote then ataamua yeye afanye ipi
 
Miezi 8 sijui 10 mwaka mnasubiria interview wakati nafasi mnazosubiria watu wameshapewa kimchongo mtaitwa interview ushahidi tu ila kuitwa kazini sahau
Acha tu mkuu kweli yataka moyo TAA BOT na nyingine zilifata lkn MDAs na LGAs wap
 
aombe zote then ataamua yeye afanye ipi
IMG-20250206-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom