Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Miezi 8 sijui 10 mwaka mnasubiria interview wakati nafasi mnazosubiria watu wameshapewa kimchongo mtaitwa interview ushahidi tu ila kuitwa kazini sahau
 
Mkuu ningekushauri uombe moja tu. Siku hizi hawachek na kima interview zinafanyika siku moja na mda mmoja mimi kwenye io pdf naweza kuomba sehemu 3 lkn kilichotokea BOT kinaenda tokea TRA
aombe zote then ataamua yeye afanye ipi
 
Miezi 8 sijui 10 mwaka mnasubiria interview wakati nafasi mnazosubiria watu wameshapewa kimchongo mtaitwa interview ushahidi tu ila kuitwa kazini sahau
Acha tu mkuu kweli yataka moyo TAA BOT na nyingine zilifata lkn MDAs na LGAs wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…