Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Hio ngoma ni DSM au vile vile kwa kandaMimi nawaza hivi hizi T.R.A ,, inamaana siku ya usahili wotee tunaenda kufanyia Dar au huwa wanaweka usahili kwa kanda ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ngoma ni DSM au vile vile kwa kandaMimi nawaza hivi hizi T.R.A ,, inamaana siku ya usahili wotee tunaenda kufanyia Dar au huwa wanaweka usahili kwa kanda ??
ACha kurudia rudia ujumbe ule ule kwenye mada za msingi. Utakuja kupigwa.Km tangu mwezi wa 8 mwaka jana umetuma maombi na hujaitwa interview mpaka hivi leo hesabu kwamba connection ina nguvu zile nafasi za mwezi wa 8 watu wenye connection wameshapewa huko wewe endelea kukodoa macho tu hapo
Dah wabongo ni wagumu sana kuelewa.Vipi kama ume apply mbili tu. Hapo utakuwa NOT SHORTLISTED?
Wabongo mna matatizo ya akili afu mkikatwa mnakuja kulalamika, ushaambiwa n utaratibu wao hakuna kuomba mara mbili kwenye taasisi moja afu ww unakuja kusema wana msongo wa mawazo, dah ww jamaa jitambue bcWamemchinja kote hawampa shortlist hata moja zote wamefyeka hao ajiraportal wana sonona sio siri huyo admin wao hana huruma anaishi na msongo wa mawazo
Mkuu nawaambia hawaelewi. Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote. Hapo hakuna cha mshika mawili moja humponyoka mkuuWabongo mna matatizo ya akili afu mkikatwa mnakuja kulalamika, ushaambiwa n utaratibu wao hakuna kuomba mara mbili kwenye taasisi moja afu ww unakuja kusema wana msongo wa mawazo, dah ww jamaa jitambue bc
Afu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishiMkuu nawaambia hawaelewi. Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote. Hapo hakuna cha mshika mawili moja humponyoka mkuu
Kuwa muelewa basi bro, kuna ambao wali apply kipindi cha nyuma, na huu utaratibu wa multiple selections hukuwa unajulikanaAfu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo 😂
Wacha mwisho wa siku tutamuona mwenye sonona kati ya utumish na applicantsAfu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo 😂
Admin wa ajiraportal anaishi na sononaAfu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo 😂
Admin ana msongo wa mawazo tena atakua Mwanamke hapo ndipo balaa lilipoWacha mwisho wa siku tutamuona mwenye sonona kati ya utumish na applicants
Admin ajiraportal sonona inamtafuna maana sio kwa kuroga huku kwa hawa wanaoomba nafasi za interview watu wanamroga mpaka adminAfu mtu anakuja kulalamika 😂 acha wanyooshwe na utumishi
Mtu mpaka ameweka screenshot kuonyesha hutakiwi kuomba mara mbili afu mpuuzi mmoja anakuja kusema ety utumishi wana msongo wa mawazo 😂
rahsully kapige interviewTAA INTERVIEW
HAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
TRA pia hukuchagulia position moja tu kwaajili ya interview regardless umejiona unafit kote namna ganiHAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
Mkuu inabidi ujiongeze mwenyewe tuHAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
Omba zaidi ya moja ukachezee RUNGU si unalijua RUNGU la Babu basi utacheza naloHAWA POSSIBLY KWENYE MASHARTI YA JUMLA WALIKATAZA KUOMBA ZAIDI YA POST MOJA LAKINI WEWE UKAPUUZA.KWA TRA HAWAJAKATAZA
Za kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwaTRA pia hukuchagulia position moja tu kwaajili ya interview regardless umejiona unafit kote namna gani
Una makasiriko sana kijanaZa kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwa
Tutawachapa nyinyi mnaojifanya wajuaji unaambiwa omba 1 unaomba 10 tamaa itakuponza fisi utakula mifupa, fisi mtachapwa mpaka mchapikeUna makasiriko sana kijana
Ni vyema kuapply moja uwe safe side maana hata wanavokuchagulia post moja uattend interview ni kengele tosha kua hukupaswa kuapply mbiliZa kuambiwa Changanya na zako sasa wewe jitie mbishi ufyekelewe mbali maana kifuatacho ni kuchapwa mtachapwa