Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,241
Uzi ni wa 2022 mkuu.Huu uzi nakumbuka 2021 hivi kwanza mwifa yupo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Utumishi walichonifanya gaddem shit
At last Jeshi likaniokoa
Kila mtu ana wakati wake
Tumoumbee asichaguliwe kwenda congo dr kupambana na majeshi ya KPUzi ni wa 2022 mkuu.
Umepotelea kwa Wajeda sana, au wanawakazia kuvinjari online[emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu kila chet sehem yake ukimaliza kuweka chuo add level ya nyingine mpaka yawisho O LEVELWale wa TRA.
Je, vyeti vyote unaweka kwenye PDF moja na ku upload sehemu Qualifications?
Poa mkuuMkuu kila chet sehem yake ukimaliza kuweka chuo add level ya nyingine mpaka yawisho O LEVEL
Transcript nayo ina sehemu yake au ni pamoja na Academic Certificate ?Mkuu kila chet sehem yake ukimaliza kuweka chuo add level ya nyingine mpaka yawisho O LEVEL
Mi naongelea kwenye portal ya TRA
Hawa UTUMISHI MKUU sio TRA
Sasa mkiwa mnalalamika bc muwe mnatoa maelezo vzr na sio mnalalamika afu hamtoi maelezo ya kuelewekaSasa hii ni tra?π€
sio za utumishi kivipi tena rahsully hizi si ni zile zilizotoka mwaka jana mwez wa nane mwaka jana.kwan walishawahi kutoa post nyingine ya electrical engineer tofauti na zile..??Hizi si za utumishi banaa ππ,nlishtuka ata jina langu sikuliona
sio kwamba ndio zile za utumishi wameamua kupost wenyewe tu.kwan walishawahi kutoa tangazo kwenye portal yao watu wakaaply uko??TAA zile za portal Yao sio ya ajira Portal
nadhani tuattach cheti cha chuo na transcript pamojaTranscript nayo ina sehemu yake au ni pamoja na Academic Certificate ?
Hapana, hizi walitangaza TAA wenyewe deadline ilikua december 25, 2024.sio kwamba ndio zile za utumishi wameamua kupost wenyewe tu.kwan walishawahi kutoa tangazo kwenye portal yao watu wakaaply uko??
πππππ.....Tupo hatua 10 nyumaMaboresho nimakubwa Sana PSRS ata apps Yao haifunguki saiv
ok hapo sawa maana nimeshangaa kwenye ajira portal hakuna kituHapana, hizi walitangaza TAA wenyewe deadline ilikua december 25, 2024.
Maombi yalikua yanatumwa kwa e-mail ya director general moja kwa moja, hazikupita Utumishi hizi.
Daaah kwahiyo wale tuliomba via utumishi tuwe wapoleok hapo sawa maana nimeshangaa kwenye ajira portal hakuna kitu
Kwan transcript nazo pia tunaatach? Kwenye conditions TRA si wamesema transcript hazitakiw au...naomba mnieleweshe hapo wanduguTranscript nayo ina sehemu yake au ni pamoja na Academic Certificate ?
Nilimaliza baadaye nikaenda kozi mambo yalikuwa mengi now nimepangiwa town sisimamii tena hawa ndugu zetu sishindi shambani na wafungwa mambo mukideeeUzi ni wa 2022 mkuu.
Umepotelea kwa Wajeda sana, au wanawakazia kuvinjari online[emoji1][emoji1][emoji1]
Daaah safari hii walimu na watu wa afya wasipopata kazi huu mwaka watalaamu balaaNaona ajira za walimu tena zimetanagazwa .. sijui sisi wa MDA & LGA tutapiga kabla au sijui watatupotezea tena dah