Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mmm
Mmh ni changamoto hii sasa itakuwaje mkuu tu edit tulioandika bila kuweka TRA kaka
 
Au tuache tu hivyo hivyo
 
yaani pepa za utumish ukihisi umetoboa ndio unakuta not selected sjui kwanin
Hizi kuna siku moja zilitaka kunipa sonona , nafungua account nakutana na Not selected kubwa.. dah ogopa hyo moment .. kuna jamaa nilikuwa naongea nae akawa ananiongelesha nikawa nahisi ananipigia kelele..
Mpk leo sija heal mkuu, kwa hyo situation wanayopitia walimu sio nzuri .tuwaombee.
 
Wakuu vip uko hawajaita watu kwenda interview maana waalimu na benk ni week ijayo zinaisha
 
Wale wa TRA.

Barua/cover letter unaiweka pamoja na CV? yaani unaiunganisha na CV?

Hii portal yao nayo ni hovyo tu
 
Wale wa TRA.

Barua/cover letter unaiweka pamoja na CV? yaani unaiunganisha na CV?

Hii portal yao nayo ni hovyo tu
Nop,ipo sehem mwishoni kabisa kwenye ku apply utaona sehemu ya ku attach CV and cover letter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…