Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Mmm
Katika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.
Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.
Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.
Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.
Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nyingine
Mmh ni changamoto hii sasa itakuwaje mkuu tu edit tulioandika bila kuweka TRA kakaKatika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.
Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.
Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.
Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.
Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nying