Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Deed poll na yenyewe inakua certified?
Ili cheti kiwe certified ni lazima waseme kwenye tangazo la kazi kule nadhani ukipitia tena vzuri utaona vitu gani vina takiwa kucertified, hakuna sehem wametaja affidavits wala deed poll kucertified so kama unatumia kimoja wapo unaweza kuweka kama kilivyo.
 
Asante dear,barikiwa sana🙏
 
Kmamaeee ,na bado hamjaasema , mpaka msemee 🤣🤣🤣🤣🤣, hivi waalimu huwa wanajiona ni kina nani vile ?
Mbona sisi na Engineer hatujàajiriwa tangia mwendawazimu yule aingie madarakani mwaka 2015 vile vile ,tena ajira zinatoka kwa matone , unaweza kaaa miezi tisa hadi mwaka hujaona kazi ya Engineering ngazi ya degree humo ajira portal .
Waalimu ,vijakazi na mawakala wa ccm kwenye uchaguzi ndio muwe na akili sasa mkiingia kwenye kazi msiwe puppets wa ccm kutumika kama condom na ccm kwenye uchaguzi ili kuwapotosha kinyemela na kuhujumu chaguzi pimbi ninyi
Ona yanavyoandika vitabu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaan hapo ukituma Maombi anza kitabu, usisubiri waite written ndy uanze kujiandaa inakua hatari.
Watu wa Jana BOT waliona kulikuwa hakuna namna Wiki Moja ukamaliza kupitia vyote.
Lolote na liwe ***** kwa huu msoto hata waseme kesho interview naenda nafanya hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…