Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Download app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoige

Ila mara ya mwisho app yao ilikuwa under maintenance

Pole sana status na utumishi kuna mda wanachanganya sana
Mbona unampotosha mwenzio, yn ikiwa selected for oral ajiandae kufata barua, em acheni hizo mazee
 
Wakuu nina swali moja hivi kuna anayejua vigezo wanavyotumia utumishi kumpa placement mtu aliyeingia oral.

Je aliyewahi kuingia database ndio ataanza kupata placements au laa?

Mfano mwezi september nilifanya interview za MDA & LGA sikupenya oral nikalambwa NOT SELECTED zile za kada ya afya.

Baadae nikaja kufanya interview ya taasisi moja ya chuo mwezi december kwa kada yangu ambapo walitaka mtu mmoja tu oral tukaingia 12 hivi.

Mkeka wa placement ukatoka mwezi february akachukuliwa huyo mmoja nikabaki na Selected For Oral kwa akaunti yangu.

SASA IKO HIVI KILA SIKU KWENYE HIZI PDF ZA PLACEMENTS ZA WALIMU NAONA NA WATU WA KADA YANGU WAKICHUKULIWA

Ila ni wale waliofanya interview mwezi september sasa najiuliza na mimi nawez bebwa au kwa kuwa mimi interview ya oral haikuwa ya MDA & LGA ndio maana siwezi pata placement
 
Mkuu utoage fungu la kumi
 
Mkuu utoage fungu la kumi
Mkuu mimi ni mgonga ulimbo ambae kila siku nasugua goti walau govt inaangalie kwa jicho la huruma

Nishafunga nishaandika sana maombi kwa watumishi mbalimbali na kila jumapili lazima nikamtukuze Mungu.

Sema ndio hivo njia yangu haijawahi kuwa nyepesi tokea nasoma sisi ndo wale tuliowahi nusurika kudisco

Kiufupi huwa napitia msoto mkali sana ndio natoboa

Ni mimi mgonga ulimbo mwenye matumaini tele
 
Uwe una huzulia huzulia ibada
 
Mkuu utapata tu tulia unaweza pewa taasisi kubwa na utashukuru utalia kwa Mungu kuwa mbona umenipendelea sikustahili kuwa hapa
 
NAFANYA HIVO NDUGU YANGU

Mimi ni mkkmt ambae liturugia zote zipo kichwani pasipo kusoma kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu sema ndio hvo njia yangu haijawahi kuwa nyepesi kabisa
Amin Mungu yupo ni swala la muda tu mkuu kila kitu kitakuwa sawa inshallah na yule demu atakua anakuona kwenye TV ukiambatana na waheshimiwa
 
Hahahaha Ikiwa hivo itakuwa utukufu wa Mungu sema ashajipata kwa sasa kaka angu

Mimi bado nasukuma sukuma ili siku ziende kama matonya alivoimbaga
 
Sema kama ulizingua oral ulipata maswali machache sana bora usubili tu saili nyengine
Oral nilijibu maswali yote mkuu wangu yalikuwa yanajibika na nilijibu kwa unyenyekevu mkubwa kwa sauti ya kusikika na namshukuru Mungu siku hiyo alinipa kiingereza ambacho hakina mtikisiko

sijisifu ila ni ukweli na niliona ma panelist wakitikisa vichwa na kutabasamu sasa sijui kunitia moyo au kukubali nilichodeliver
 
Back
Top Bottom