Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamezinguaImagine bro hali kama hio sema ni 1/3 nazan ilitumika lkn bado hawajafanya fair bora wangeacha tu wote wa 68
Mbona unampotosha mwenzio, yn ikiwa selected for oral ajiandae kufata barua, em acheni hizo mazeeDownload app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoige
Ila mara ya mwisho app yao ilikuwa under maintenance
Pole sana status na utumishi kuna mda wanachanganya sana
Duh uchawi upo aisee, ila huyo mwngn akiwachek anaweza nae kuwemo SELECTED au wote kutolewa.View attachment 3245983hao wenye 68 waefungana lakini kachukuliwa mmoja
Ishafanyika leo asubuhi ko hakuna namna anaweza fanyaDuh uchawi upo aisee, ila huyo mwngn akiwachek anaweza nae kuwemo SELECTED au wote kutolewa.
Hapana, bado kuna namna anaweza kufanya.Ishafanyika leo asubuhi ko hakuna namna anaweza fanya
aisee mie ningewavutia waya mapema sana either waniweke au watutoe woteDuh uchawi upo aisee, ila huyo mwngn akiwachek anaweza nae kuwemo SELECTED au wote kutolewa.
Ongezea ni Wahuni Pro MaxSema MDAs &LGAs zilizobaki hawa jamaa ni wahuni tu mpaka sasa hakuna jambo wameitwa waliofata wote wameitwa TAA NA BOT
Mkuu utoage fungu la kumiWakuu nina swali moja hivi kuna anayejua vigezo wanavyotumia utumishi kumpa placement mtu aliyeingia oral.
Je aliyewahi kuingia database ndio ataanza kupata placements au laa?
Mfano mwezi september nilifanya interview za MDA & LGA sikupenya oral nikalambwa NOT SELECTED zile za kada ya afya.
Baadae nikaja kufanya interview ya taasisi moja ya chuo mwezi december kwa kada yangu ambapo walitaka mtu mmoja tu oral tukaingia 12 hivi.
Mkeka wa placement ukatoka mwezi february akachukuliwa huyo mmoja nikabaki na Selected For Oral kwa akaunti yangu.
SASA IKO HIVI KILA SIKU KWENYE HIZI PDF ZA PLACEMENTS ZA WALIMU NAONA NA WATU WA KADA YANGU WAKICHUKULIWA
Ila ni wale waliofanya interview mwezi september sasa najiuliza na mimi nawez bebwa au kwa kuwa mimi interview ya oral haikuwa ya MDA & LGA ndio maana siwezi pata placement
Mkuu mimi ni mgonga ulimbo ambae kila siku nasugua goti walau govt inaangalie kwa jicho la hurumaMkuu utoage fungu la kumi
Uwe una huzulia huzulia ibadaWakuu nina swali moja hivi kuna anayejua vigezo wanavyotumia utumishi kumpa placement mtu aliyeingia oral.
Je aliyewahi kuingia database ndio ataanza kupata placements au laa?
Mfano mwezi september nilifanya interview za MDA & LGA sikupenya oral nikalambwa NOT SELECTED zile za kada ya afya.
Baadae nikaja kufanya interview ya taasisi moja ya chuo mwezi december kwa kada yangu ambapo walitaka mtu mmoja tu oral tukaingia 12 hivi.
Mkeka wa placement ukatoka mwezi february akachukuliwa huyo mmoja nikabaki na Selected For Oral kwa akaunti yangu.
SASA IKO HIVI KILA SIKU KWENYE HIZI PDF ZA PLACEMENTS ZA WALIMU NAONA NA WATU WA KADA YANGU WAKICHUKULIWA
Ila ni wale waliofanya interview mwezi september sasa najiuliza na mimi nawez bebwa au kwa kuwa mimi interview ya oral haikuwa ya MDA & LGA ndio maana siwezi pata placement
NAFANYA HIVO NDUGU YANGUUwe una huzulia huzulia ibada
Mkuu utapata tu tulia unaweza pewa taasisi kubwa na utashukuru utalia kwa Mungu kuwa mbona umenipendelea sikustahili kuwa hapaMkuu mimi ni mgonga ulimbo ambae kila siku nasugua goti walau govt inaangalie kwa jicho la huruma
Nishafunga nishaandika sana maombi kwa watumishi mbalimbali na kila jumapili lazima nikamtukuze Mungu.
Sema ndio hivo njia yangu haijawahi kuwa nyepesi tokea nasoma sisi ndo wale tuliowahi nusurika kudisco
Kiufupi huwa napitia msoto mkali sana ndio natoboa
Ni mimi mgonga ulimbo mwenye matumaini tele
Amina mkuuMkuu utapata tu tulia unaweza pewa taasisi kubwa na utashukuru utalia kwa Mungu kuwa mbona umenipendelea sikustahili kuwa hapa
Amin Mungu yupo ni swala la muda tu mkuu kila kitu kitakuwa sawa inshallah na yule demu atakua anakuona kwenye TV ukiambatana na waheshimiwaNAFANYA HIVO NDUGU YANGU
Mimi ni mkkmt ambae liturugia zote zipo kichwani pasipo kusoma kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu sema ndio hvo njia yangu haijawahi kuwa nyepesi kabisa
Sema kama ulizingua oral ulipata maswali machache sana bora usubili tu saili nyengineAmina mkuu
Ngoja niwe na imani hiyo mkuu
Hahahaha Ikiwa hivo itakuwa utukufu wa Mungu sema ashajipata kwa sasa kaka anguAmin Mungu yupo ni swala la muda tu mkuu kila kitu kitakuwa sawa inshallah na yule demu atakua anakuona kwenye TV ukiambatana na waheshimiwa
Oral nilijibu maswali yote mkuu wangu yalikuwa yanajibika na nilijibu kwa unyenyekevu mkubwa kwa sauti ya kusikika na namshukuru Mungu siku hiyo alinipa kiingereza ambacho hakina mtikisikoSema kama ulizingua oral ulipata maswali machache sana bora usubili tu saili nyengine