FAUDHI TWAIBU
Member
- Feb 22, 2025
- 37
- 25
Ndio wanapigiw tu ximu awaweke ukNina Rafiki zangu kadhaa nao walifanya hizo za watendaji mwaka jana na wengi wao wameitwa kazini kwa kupigiwa simu wakafate barua DOM sidhani kama watendaji Huwa wanawekwa kwenye hii mikeka ya placements
Kwaiy AP kak so waliopigia xim walifanyajNdio wanapigiw tu ximu awaweke uk
Hapo sawa kada zingine pdf la placement muhimuNina Rafiki zangu kadhaa nao walifanya hizo za watendaji mwaka jana na wengi wao wameitwa kazini kwa kupigiwa simu wakafate barua DOM sidhani kama watendaji Huwa wanawekwa kwenye hii mikeka ya placements
Basi kuwa mvumilivu mkuu nafasi zikipatikan utafikiwa muhim sim iwe ON muda woteNdio wanapigiw tu ximu awaweke uk
Ndio wanapigiw tu ximu awaweke uk
Yaah mkuu sisi wengin lazima tuchungulie PDFHapo sawa kada zingine pdf la placement muhimu
Leo na jana hawajatoa kbsa pdfYaah mkuu sisi wengin lazima tuchungulie PDF
Daah siku hizi wanatoa za walimu tuu sijui tutafikiwa liniLeo na jana hawajatoa kbsa pdf
Sasa apo utajuaje Kam up UK kwenye mfumo wao ukBasi kuwa mvumilivu mkuu nafasi zikipatikan utafikiwa muhim sim iwe ON muda wote
Kul Kweny mfumo Wang bad kuna sected oralSasa apo utajuaje Kam up UK kwenye mfumo wao uk
Wanamix na kada zingine kidogo semaDaah siku hizi wanatoa za walimu tuu sijui tutafikiwa lini
Kama ulifanya vizuri oral utaitwa, kwa database unakaa kwa muda wa mwaka mmojaKul Kweny mfumo Wang bad kuna sected oral
Ngoj tuendelee kusikiliziaWanamix na kada zingine kidogo sema
Maswali mawili nimejib ovy kat ya matanoKama ulifanya vizuri oral utaitwa, kwa database unakaa kwa muda wa mwaka mmoja
Pal bad oral interview ipMaswali mawili nimejib ovy kat ya matano
Hakuna watu wanafki kama panelistOral nilijibu maswali yote mkuu wangu yalikuwa yanajibika na nilijibu kwa unyenyekevu mkubwa kwa sauti ya kusikika na namshukuru Mungu siku hiyo alinipa kiingereza ambacho hakina mtikisiko
sijisifu ila ni ukweli na niliona ma panelist wakitikisa vichwa na kutabasamu sasa sijui kunitia moyo au kukubali nilichodeliver
Ulifanya lini hiyo oral?Maswali mawili nimejib ovy kat ya matano
Hakuna namna unaweza jua zaidi ya kusubiria tu kama utaitwa kaziniSasa apo utajuaje Kam up UK kwenye mfumo wao uk
Alaf walitoa kaZ Kisarawe MPK leo awakaita kwenye usail tok mwaka janPal bad oral interview ip
Mwez wa 10 mwak janUlifanya lini hiyo oral?
Wale jamaa wanajua kukupa moyo yaani unatoka ukiamini mkeka umetiki wakija kutoa majina holaa😄😄Hakuna watu wanafki kama panelist