Utumishi wanazingua kichizi😂😂😂😂😂😂Kwahiyo wamesahau kuziweka kwenye portal lakini wataziweka tuWaheshimiwa,
Kwenye matangazo ya website ya PSRS naona nafasi za ajira za O.U.T zimetangazwa jana,
Ila kwenye Portal sizioni kwa ajili ya kuapply-
Hii imekaaje ndugu wapambanaji?
Basi jamaa wamevurugwa vibaya sana!!!Utumishi wanazingua kichizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo wamesahau kuziweka kwenye portal lakini wataziweka tu
Labda wamedelay sababu ya msibaWaheshimiwa,
Kwenye matangazo ya website ya PSRS naona nafasi za ajira za O.U.T zimetangazwa jana,
Ila kwenye Portal sizioni kwa ajili ya kuapply-
Hii imekaaje ndugu wapambanaji?
R.I.P mwendo ameumaliza salama tuko nyuma Yake.Dah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
Nilikutana naye NIT ana majibu mabaya sana na mkali Mungu amrehemuDah huyo faza amefariki aisee mung amrehemu
😂😂😂😂Kwamba mwamba kavuta watangaze nafasi tukawakande sasaNafasi ya kuwakanda majobless pro imeshapatikana moja kufa kufaana ngoja tusubir tangazo
Hadi arobaini ipite kabisaJobless msijali bado tupo msibani tukimaliza kuzika tutatoa pdf hata moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awa hawarabirik tuendelee kuwa wapoleTRA tutegeme lini kukandwa
Ni kweli kabisa,siku ambayo tumeshakata tamaa ndio pdf linaachiwaAwa hawarabirik tuendelee kuwa wapole
Ndiyo maana yake watangaze maana hawa jamaa sioni matangazo yake ya ajira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba mwamba kavuta watangaze nafasi tukawakande sasa
Macho kodokodo kwenye pdfHUMU NAONA WATU WAKO HOI!
Acha tuoneWaombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Leo natufuta Status yangu nakutana na hii. Ni Nini hii job seekers wenzangu?
Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Leo natufuta Status yangu nakutana na hii. Ni Nini hii job seekers wenzangu?
Ukipata ajira serklini mshukuru mungu hali sio nzuriHUMU NAONA WATU WAKO HOI!