Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Leo natufuta Status yangu nakutana na hii. Ni Nini hii job seekers wenzangu?
Umekutana na nini mkuu mbona kama maelezo marefu na swali halieleweki
 
jobless wenzangu Kuna mchumba hapo wahini fursa haya ya pdf tusubiri mwezi ujao😂😂😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_20221110-195251.png
    Screenshot_20221110-195251.png
    43.7 KB · Views: 13
Binafsi nilikua naangalia pdf Kila baada ya lisaa,lakini sahvi nna wiki sipiti kule na sikumbuki,naingia tu huku najua wakitoa mwifwa,Ahmet,wizy [emoji1787] na wengine wataleta taarifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu msiba wa Bwana Kanena kwa aina moja ama nyingine lazima utakwamisha baadhi ya mambo.

Matarajio ya aina yeyote ya PDF tuyasogeze mbele
Sidhani kama inaweza kuwa sababu pia istoshe misiba ya kiislam
Huu msiba wa Bwana Kanena kwa aina moja ama nyingine lazima utakwamisha baadhi ya mambo.

Matarajio ya aina yeyote ya PDF tuyasogeze mbele
Sidhani kama inaweza kuwa sababu ww tegemea big suprise kutoka kwao anytime,,,Pia huwa misiba ya kiislam huwa haina mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom