euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Wiki hii ishaisha tusubiri next week au jumanne ijayoooooooLeo alhamisi nasikia harufu ya placement
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki hii ishaisha tusubiri next week au jumanne ijayoooooooLeo alhamisi nasikia harufu ya placement
Mwezi ujao hiyooooWiki hii ishaisha tusubiri next week au jumanne ijayooooooo
Binafsi nilikua naangalia pdf Kila baada ya lisaa,lakini sahvi nna wiki sipiti kule na sikumbuki,naingia tu huku najua wakitoa mwifwa,Ahmet,wizy 🤣 na wengine wataleta taarifaMacho kodokodo kwenye pdf
Mpaka mwezi ujao mzeeWiki hii ishaisha tusubiri next week au jumanne ijayooooooo
😂😂😂😂Kwahiyo sisi ndo vijana wa hovyo hahhhhBinafsi nilikua naangalia pdf Kila baada ya lisaa,lakini sahvi nna wiki sipiti kule na sikumbuki,naingia tu huku najua wakitoa mwifwa,Ahmet,wizy 🤣 na wengine wataleta taarifa
Tukutane mwezi ujayo 🤣Mpaka mwezi ujao mzee
🤣🤣🤣Nyie wote mmewapiga ndoige psrs😂😂😂😂Kwahiyo sisi ndo vijana wa hovyo hahhhh
Umekutana na nini mkuu mbona kama maelezo marefu na swali halielewekiWaombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.
Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.
Leo natufuta Status yangu nakutana na hii. Ni Nini hii job seekers wenzangu?

😂😂😂😂oya sihata wewe unasubiri pdf tena wewe imeandika selected for oral mzee?😁😁😂au not selected??nauliza tu lakini sio kwa ubayaaa🤣🤣🤣Nyie wote mmewapiga ndoige psrs
Hiyo uhakika mzee 😂😂😂😂😂Mwezi huu hamna kituTukutane mwezi ujayo 🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi nilikua naangalia pdf Kila baada ya lisaa,lakini sahvi nna wiki sipiti kule na sikumbuki,naingia tu huku najua wakitoa mwifwa,Ahmet,wizy [emoji1787] na wengine wataleta taarifa
Ardhi yenye migogoro, kalime for your own risk[emoji3][emoji3][emoji3]jobless wenzangu Kuna mchumba hapo wahini fursa haya ya pdf tusubiri mwezi ujao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hainipeleki kuona Status ya Application. Nikifungua hapo napata Ujumbe huoUmekutana na nini mkuu mbona kama maelezo marefu na swali halieleweki
😂😂😂😂HahhhhArdhi yenye migogoro, kalime for your own risk[emoji3][emoji3][emoji3]
Log out afu ulog in au tumia app kama unatumia websiteHainipeleki kuona Status ya Application. Nikifungua hapo napata Ujumbe huo
Hizi pdf tusubiri next monthHuu msiba wa Bwana Kanena kwa aina moja ama nyingine lazima utakwamisha baadhi ya mambo.
Matarajio ya aina yeyote ya PDF tuyasogeze mbele
Sidhani kama inaweza kuwa sababu pia istoshe misiba ya kiislamHuu msiba wa Bwana Kanena kwa aina moja ama nyingine lazima utakwamisha baadhi ya mambo.
Matarajio ya aina yeyote ya PDF tuyasogeze mbele
Sidhani kama inaweza kuwa sababu ww tegemea big suprise kutoka kwao anytime,,,Pia huwa misiba ya kiislam huwa haina mambo mengi sanaHuu msiba wa Bwana Kanena kwa aina moja ama nyingine lazima utakwamisha baadhi ya mambo.
Matarajio ya aina yeyote ya PDF tuyasogeze mbele