Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚oya sihata wewe unasubiri pdf tena wewe imeandika selected for oral mzee?πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚au not selected??nauliza tu lakini sio kwa ubayaaa
Nilishasema mbona kaka not selected Tena maandishi rangi nyekundu🀣🀣🀣🀣
 
Sidhani kama inaweza kuwa sababu pia istoshe misiba ya kiislam

Sidhani kama inaweza kuwa sababu ww tegemea big suprise kutoka kwao anytime,,,Pia huwa misiba ya kiislam huwa haina mambo mengi sana
Itakuwa jambo jema ikiwa hivyo
 
Hiyo shortlisted uhakika mzee ushapata lakini kama imekuandikia not selected kwenye app wewe tunaimba baba jeni bye bye na mwendo umeumaliza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye app kuna Green SELECTED FOR...mbele kuna Yule sjui NULLUDIN. sijui ,IT wenyew wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…